Tunakuhitaji Mawaziri kama Mpango na Nape

kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
1,072
1,340
Wanajamii foruma
Poleni na majukumuu yenuu ya kulijenga taifa letu pendwaa sana la Tanzania
Kwa kifupii nalipenda sana Taifa languu la Tanzania ni watu wachache tuu wananifanya niwe na chuki na hili Taifa languuu.wakwanza ni Makondaa mzee wa kubuni miradi yenye kwashakoo na isyokamilikaaa wengine wenye tabia kama yakeee na wasio zingatia sheria za nchiii .Sasa sijajua na sina hakika hawa watu wanawashauri kabla ya kuzungumza chochoteee.

Niende kwenye madaa tajwaa hapo juu
Kiukwelii taifa langu hili pendwaa linahitaji viongozi wasio wanafikii ,wanaozingatia sheriaa zilizopoooo
Mfanoo Mh Philips Mpangoo
Mh Nape Moses Nnauye
Mh Makame Mbarawa
Isack Kamwele na wengine wachache niliowasahu ukiwaacha akina ....wale wa wanaosema nimefungia nyimbo afu kesho yakee wanafungulia

Lkn mimi najua watuu wanaosimamia sheria najua hawatobakii hata kidogooo
Mfao Napee na mwingine anayefataa mimi sijui jijibu wewe mwenyewe
Nafahamu mpo humuuu njooni muandishii maneno yenu yenye kwashakooo lk. Ujumbe umefikaa
NAKUPONGEZA SANA MH DR PHILIP MPANGOO KWA KUSEMA UKWELI
MUNGU ATAKUBARIKI SANAAA HUKUBAKIZA HATA CHEMBEE UMESEMA YOTEE
CC YULE WA KULE Hai aliyemkamata mwekezaji bila kuwasiliana na taasisi husikaaaa HAWA VIJANA WENZETUU MNATUDHALILISHAA KWA KUFANYA KAZI KWA MIHEMKOOO NA SHIDAA KUBWA NI ELIMUUUUUII ELIMUU ELIMUUU ELIMU ELIMUUU ELIMUUUUUUUUUUUUI UWIIII ELIMUUUUU HII WANDUGUJ INAKINGA VITU VINGIIIII
 
siku zote mtu huchagua watu anao endana nao-jinsi magufuli alivyo ndivyo hivyo mawaziri wake walivyo,ukitegemea hao mawaziri wawe tofauti na anaye wachagua basi inabidi ukapimwe ubongo wako.
 
Back
Top Bottom