Naomba kujua kazi na majukumu ya TCU

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Naona wanachelewa sana kutoa majina ya walio dahiliwa vyuo mbalimbali, sasa nilitaka kujua kama wana kazi na majukumu mengi sana kiasi cha kushindwa kukamilisha majukumu yao kwa wakati
 
TCU = TANZANIA CHURCHES UNION. kazi yake ni kuombea wachungaji wahuni waache uhuni. Hasa hawa wahuni mitume na mizimu na minabi na mijizi
 
Back
Top Bottom