Je, unajua Mzimu ni nini?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
Zipo nadharia nyingi zinazo elezea mzimu ni kitu gani, nadharia iliyo zoeleka ni ile inayosema mzimu ni roho ya mtu aliye kwisha kufa.
Mtu huyo anaweza kuwa amekufa zamani sana, ama muda mfupi uliopita.

Mzimu ni nishati ( energy), roho au haiba ( personality) ya mtu ambaye amefariki dunia lakini imekwama katika sehemu iliyo kati ya duniani ( ulimwengu wa nyama/ulimwengu unao onekana ) na mahali ambapo roho hiyo inatakiwa kwenda kuishi baada ya maisha ya hapa duniani kukamilika ( ulimwengu usioonekana/ afterlife/ land of the souls )

Watafiti wengi wana amini kuwa roho hizi zinakuwa hazijui kama zimekufa katika ulimwengu wa nyama ama hazitaki kuamini kama zimekufa katika ulimwengu wa nyama ama hazikubaliani na kifo chao katika ulimwengu wa nyama.
Mara nyingi roho hizi huwa ni roho za watu ambao walikufa katika mazingira yanayotatanisha kama vile kufa kwa kuuliwa bila sababu ( cold blood), kutolewa kafara, ama kufa baada ya maisha ya msukuleni.
Kwa ufupi hizi huwa ni roho za watu ambao walidhulumiwa haki yao ya kuishi hapa duniani.
Mizimu inaweza kujidhirisha na kuonwa na wanadamu ama wanyama katika namna tofauti tofauti kama vile muonekano ( hapa mizimu ,huwatokea ndugu, jamaa na marafiki zao wakiwa katika maumbo ya sura zao wakati wanaishi duniani na mara nyingi huwatokea wakiwa na nguo walizo penda kuzivaa wakati wa uhai wao ), sauti, harufu( hapa kwenye harufu mzimu unapo mtokea muhusika,hujidhihirisha kwa harufu yake ya mwili ( kila mtu ana harufu yake ya mwili, watu huweza kuwatambua watu wao wa karibu kwa harufu zao za mwili ), ama pafyumu ( katika pafyumu, mzimu utamtokea mtu kwa harufu ya marashi ambayo alikuwa anapenda kuyatumia wakati yupo duniani katika ulimwengu wa nyama.
Wakati mwingine, mzimu huweza kuwatokea ndugu jamaa na marafiki zake kwa kuwashika.
Kwa ufupi mzimu huwa ni roho ambayo imewahi kuishi katika ulimwengu wa nyama kama mwanadamu ama mnyama.
 
Tusahihishane kidogo. Mzimu ni tofauti na Kivuli (Ghost).
Mzimu, ni Nafsi ya Mtu aliyeishi duniani na kisha kufa. Mzimu sio Roho ya mtu aliyekufa bali ni Nafsi. Kwa kiebrania ni "Nefesh".
Mtu anapokufa, Roho pamoja na Nafsi hutengana na mwili ambao ndio unaozikwa kaburini. Kisha Roho hurudi kwa MUNGU aliyeiweka katika mwili. Nafsi ndio inayoenda mahali pa kusubiri hukumu , yaani kuzimu.
Kuzimu, ni mahali zinapoishi Nafsi za wafu. (Wale ambao maisha yao duniani waliishi bila hofu ya MUNGU.-watenda maovu.) Nafsi za watenda mema , huishi sehemu iitwayo paradiso au ahera, bado ni sehemu moja , Lakini zimetenganishwa na shimo, au kizuizi ambacho kimfanya aliye upande mmoja asiweze kwenda upande wa pili. Hapa ni mbingu ya tatu kufuatana na imani ya kibiblia( 1Wakorintho 12:2--3.)
Mzimu hauwezi kuonekana, ila unaweza kupagaa, au kuvaa Mtu wa familia hasa watoto, wajukuu na kuweza kuwasiliana na watu kupitia mwili wa huyo mtoto. Hapa, aliyepagawa, au kuvaliwa, huitwa Mtu wa kati au " Medium".
Ghost, au kivuli, ni Roho na mwili wa mfu aliyeishi duniani .
Ghost, huweza kuwatokea watu na kuonekana kwao wazi wazi Lakini kwa njia ya kivuli, kwa sababu ukimtazama ghost utaviona vitu vilivyo nyuma yake, kisha hupotea kama alivyoingia. Jambo hili ni la kawaida kabisa kwa watu wa nchi za Ulaya, ( Uingreza, Ufaransa, wajerumani, wabelgiji, na hata Waamerika kutokewa na ghosts za jamaa zao, hasa ndani ya Siku arobaini baada ya kifo cha mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa credit kwa Mungu wa Kabili
 
ndugu zangu msidanganyike wala msidanganywe wafu hawajui jambo lolote na kumbukumbu zao zimesaulika hivyo hiyo mijitu inayo jiita mizimu ni roho waovu mashetani walio muhasi yehova mungu mbinguni ikafukuzwa ikaanzisha upinzani na mungu na kujigeuza na kudanganya wanadamu kama mababu wazamani walio kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Masomo yanatupambaga sana ila du! Nashindwa ata nianzie wapi kufanya utafiti lakn anyway hongera kwa utafiti wako mkuu but uelewe Dunia ya saivi Inahtaji kuamin vitu vilivyofanyiwa Research za Kisayansi.
 
Tusahihishane kidogo. Mzimu ni tofauti na Kivuli (Ghost).
Mzimu, ni Nafsi ya Mtu aliyeishi duniani na kisha kufa. Mzimu sio Roho ya mtu aliyekufa bali ni Nafsi. Kwa kiebrania ni "Nefesh".
Mtu anapokufa, Roho pamoja na Nafsi hutengana na mwili ambao ndio unaozikwa kaburini. Kisha Roho hurudi kwa MUNGU aliyeiweka katika mwili. Nafsi ndio inayoenda mahali pa kusubiri hukumu , yaani kuzimu.
Kuzimu, ni mahali zinapoishi Nafsi za wafu. (Wale ambao maisha yao duniani waliishi bila hofu ya MUNGU.-watenda maovu.) Nafsi za watenda mema , huishi sehemu iitwayo paradiso au ahera, bado ni sehemu moja , Lakini zimetenganishwa na shimo, au kizuizi ambacho kimfanya aliye upande mmoja asiweze kwenda upande wa pili. Hapa ni mbingu ya tatu kufuatana na imani ya kibiblia( 1Wakorintho 12:2--3.)
Mzimu hauwezi kuonekana, ila unaweza kupagaa, au kuvaa Mtu wa familia hasa watoto, wajukuu na kuweza kuwasiliana na watu kupitia mwili wa huyo mtoto. Hapa, aliyepagawa, au kuvaliwa, huitwa Mtu wa kati au " Medium".
Ghost, au kivuli, ni Roho na mwili wa mfu aliyeishi duniani .
Ghost, huweza kuwatokea watu na kuonekana kwao wazi wazi Lakini kwa njia ya kivuli, kwa sababu ukimtazama ghost utaviona vitu vilivyo nyuma yake, kisha hupotea kama alivyoingia. Jambo hili ni la kawaida kabisa kwa watu wa nchi za Ulaya, ( Uingreza, Ufaransa, wajerumani, wabelgiji, na hata Waamerika kutokewa na ghosts za jamaa zao, hasa ndani ya Siku arobaini baada ya kifo cha mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelezea vizuri
 
ndugu zangu msidanganyike wala msidanganywe wafu hawajui jambo lolote na kumbukumbu zao zimesaulika hivyo hiyo mijitu inayo jiita mizimu ni roho waovu mashetani walio muhasi yehova mungu mbinguni ikafukuzwa ikaanzisha upinzani na mungu na kujigeuza na kudanganya wanadamu kama mababu wazamani walio kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani amekwambia haya
 
Zipo nadharia nyingi zinazo elezea mzimu ni kitu gani, nadharia iliyo zoeleka ni ile inayosema mzimu ni roho ya mtu aliye kwisha kufa.
Mtu huyo anaweza kuwa amekufa zamani sana, ama muda mfupi uliopita.

Mzimu ni nishati ( energy), roho au haiba ( personality) ya mtu ambaye amefariki dunia lakini imekwama katika sehemu iliyo kati ya duniani ( ulimwengu wa nyama/ulimwengu unao onekana ) na mahali ambapo roho hiyo inatakiwa kwenda kuishi baada ya maisha ya hapa duniani kukamilika ( ulimwengu usioonekana/ afterlife/ land of the souls )

Watafiti wengi wana amini kuwa roho hizi zinakuwa hazijui kama zimekufa katika ulimwengu wa nyama ama hazitaki kuamini kama zimekufa katika ulimwengu wa nyama ama hazikubaliani na kifo chao katika ulimwengu wa nyama.
Mara nyingi roho hizi huwa ni roho za watu ambao walikufa katika mazingira yanayotatanisha kama vile kufa kwa kuuliwa bila sababu ( cold blood), kutolewa kafara, ama kufa baada ya maisha ya msukuleni.
Kwa ufupi hizi huwa ni roho za watu ambao walidhulumiwa haki yao ya kuishi hapa duniani.
Mizimu inaweza kujidhirisha na kuonwa na wanadamu ama wanyama katika namna tofauti tofauti kama vile muonekano ( hapa mizimu ,huwatokea ndugu, jamaa na marafiki zao wakiwa katika maumbo ya sura zao wakati wanaishi duniani na mara nyingi huwatokea wakiwa na nguo walizo penda kuzivaa wakati wa uhai wao ), sauti, harufu( hapa kwenye harufu mzimu unapo mtokea muhusika,hujidhihirisha kwa harufu yake ya mwili ( kila mtu ana harufu yake ya mwili, watu huweza kuwatambua watu wao wa karibu kwa harufu zao za mwili ), ama pafyumu ( katika pafyumu, mzimu utamtokea mtu kwa harufu ya marashi ambayo alikuwa anapenda kuyatumia wakati yupo duniani katika ulimwengu wa nyama.
Wakati mwingine, mzimu huweza kuwatokea ndugu jamaa na marafiki zake kwa kuwashika.
Kwa ufupi mzimu huwa ni roho ambayo imewahi kuishi katika ulimwengu wa nyama kama mwanadamu ama mnyama.
Mkuu mbona kama vile umeikopi mahali?! Ni ya kwako kweli?.
Kama ni yako hongera na kama sio yako ni vyema ukampa credit mhusika.

Mkuu umezunguuka wee huko na huko,na hata kupamba visivyoweza kupambika.Mzimu mkuu ni deception ya Shetani anayoifanya kwa sababu ya ufahamu mdogo wa mwanadamu kuhusu Mungu wa kweli!Deception hiyo anaileta in the form of relatives who died a while ago. Anatumia roho wachafu majini au mashetani ambayo yanavaa mwili unaofanana kabisa na the dead relative.Majini haya, roho wachafu au mapepo, hayawezi kabisa kumtokea mtu anayemuamini Mungu wa kweli.
 
Who told u this?
 
Zipo nadharia nyingi zinazo elezea mzimu ni kitu gani, nadharia iliyo zoeleka ni ile inayosema mzimu ni roho ya mtu aliye kwisha kufa.
Mtu huyo anaweza kuwa amekufa zamani sana, ama muda mfupi uliopita.

Mzimu ni nishati ( energy), roho au haiba ( personality) ya mtu ambaye amefariki dunia lakini imekwama katika sehemu iliyo kati ya duniani ( ulimwengu wa nyama/ulimwengu unao onekana ) na mahali ambapo roho hiyo inatakiwa kwenda kuishi baada ya maisha ya hapa duniani kukamilika ( ulimwengu usioonekana/ afterlife/ land of the souls )

Watafiti wengi wana amini kuwa roho hizi zinakuwa hazijui kama zimekufa katika ulimwengu wa nyama ama hazitaki kuamini kama zimekufa katika ulimwengu wa nyama ama hazikubaliani na kifo chao katika ulimwengu wa nyama.
Mara nyingi roho hizi huwa ni roho za watu ambao walikufa katika mazingira yanayotatanisha kama vile kufa kwa kuuliwa bila sababu ( cold blood), kutolewa kafara, ama kufa baada ya maisha ya msukuleni.
Kwa ufupi hizi huwa ni roho za watu ambao walidhulumiwa haki yao ya kuishi hapa duniani.
Mizimu inaweza kujidhirisha na kuonwa na wanadamu ama wanyama katika namna tofauti tofauti kama vile muonekano ( hapa mizimu ,huwatokea ndugu, jamaa na marafiki zao wakiwa katika maumbo ya sura zao wakati wanaishi duniani na mara nyingi huwatokea wakiwa na nguo walizo penda kuzivaa wakati wa uhai wao ), sauti, harufu( hapa kwenye harufu mzimu unapo mtokea muhusika,hujidhihirisha kwa harufu yake ya mwili ( kila mtu ana harufu yake ya mwili, watu huweza kuwatambua watu wao wa karibu kwa harufu zao za mwili ), ama pafyumu ( katika pafyumu, mzimu utamtokea mtu kwa harufu ya marashi ambayo alikuwa anapenda kuyatumia wakati yupo duniani katika ulimwengu wa nyama.
Wakati mwingine, mzimu huweza kuwatokea ndugu jamaa na marafiki zake kwa kuwashika.
Kwa ufupi mzimu huwa ni roho ambayo imewahi kuishi katika ulimwengu wa nyama kama mwanadamu ama mnyama.
Ww ni mganga
Mbn mizimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom