Kufuatia tukio la mwanaume mmoja aitwae Thomas Silayo, mkazi wa kata ya Tarakea Motamburu wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kuuliwa na mtu anayedaiwa kuwa ndugu yake, wakati akisubiria muda wa...
Askari mmoja wa idara ya wanyamapori ( TAWA) anaefahamika kwa jina la Enock Rugaimukamu Gration mkazi wa Pasiansi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amefariki dunia mara baada ya kujeruhiwa na chui...
Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga...
RWANDA 🇷🇼🇹🇿 TANZANIA
President Samia Suluhu Hassan to attend the Nuclear Energy Innovation Summit for Africa scheduled from 18–21 May 2026 at the Kigali Convention Center.
Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni imeeleza kuwa katika kipindi cha Januari hadi Machi 2026 imepokea malalamiko 78, ambapo kati ya hayo, 26 yalihusu rushwa...
Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli
Kwa mfano huku dar hii...
Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu.
Sababu zangu kuu ni mbili:
1. Hakuna uthibitisho wala dalili...
Hili swali huwa najiuliza sana. Kwanini shetani hamkugusa kabisa mke wa Ayubu? Ikumbukwe shetani aliua hadi watoto wote wa Ayubu lakini mke hakuguswa kabisa. Shetani huwa ana double standards...
TAIFA GESI IMEFIA WAPI?
Bei ya gesi za majumbani (LPG) yapanda mara dufu
Mtungi mdogo, 6kg: Kutoka TZS 19000/- hadi TZS 22000/-
Mtungi wa kati, 15kg: Kutoka TZS 48000/- hadi TZS 54000/-
Mtungi...
Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha...
Watanzania ni mazuzu sana sijawahi kuona mji mzima hapa DSM vikao vya kuchangiana mambo ya msingi zaidi ya vikao vya harusi .
Kwa nini watanzania mnapenda kuchangiana kwenye harusi lakini...
Wilaya ya Same kuna upotevu wa pikipiki, mfano mimi mwenyewe nimeibiwa pikipiki yangu lakini polisi wa Same hawatoi ushirikiano wowote, hili suala linaumiza sana, ni zaidi ya pikipiki 16 zimepotea...
Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa.
Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kujipatia zaidi ya millioni 81 kwa njia ya udanganyifu kwa vijana zaidi ya 80 waliokusanywa kutoka mikoa mbalimbali hapa...
Vijana kuweni makini si kila anakwambia kuna kazi unaenda, wengi ni matapeli sanaaa!
============
Watu saba wamenaswa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuwatapeli zaidi ya vijana 80...