Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,103
- 26,155
Wakuu nimekuwa sielewi kuhusu hichi kitu
Naomba mnijibu haya maswali
1)Hivi kila sayari mwisho wake (Qiyama chake) ni siku moja na dunia??
2) Je wanaopaswa kwenda motoni ni binadamu na majini pekee??
3) Kama ni binadamu na majini sababu kuu ni nini ?kwani viumbe vingine navyo si vimeumbwa ila vimuaabudu Mungu kwa nini wao wasiwe included??
4)Je sayari nyingine nazo zina mitume na manabii??
5)Je majini yanaweza kwenda kuishi kwenye hizo sayari kama wanavyoishi huku duniani??