Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,325
- 7,533
Naomba kuuliza ni Benki ipi ina riba nafuu zaidi,pamoja ni mkopo wa muda mrefu(zaidi ya miaka saba)
============================================================
Hii Benki ya BOA ipo wapi kwa mimi ninaeishi Ubungo,maeneo haya sijaona,nimejaribu Ubungo Plaza,Shekilango,Mwenge na Mlimani City.
Anaefahamu aniambie au mjini tu.