Hivi maana ya neno substandard ni nini?

Hivi maana ya neno substandard ni nini?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,972
Reaction score
40,400
Kwa heshima na taadhima naombeni kujuzwa ikiwapendeza mnipe na mfano, a recent example
 
Double standard ni kuappy sheria unfairly kwa case mbili zinazofanana...mfano issue ya makonda,,huyu ingebidi awe analima mahindi kwao misungwi lakini kosa hilohilo watu wengine wamepoteza kazi na wengine kuwekwa ndani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tukiachana na chemistry ambayo ni branch of science ambayo ina dili na matter ...

Kuna siku nilimsikia wema sepetu akisema jambo akaingizia neno kama alisema ..."chemistry yake .... Alikisudia nini mana niliumia kichwa sana

الجنون فنون
 
Chemistry wanitumia kumaanisha muunganiko..mfano kama kwenye football unaweza kusema beki hawa wawili wa kati wanachemistry nzuri i.e wana muunganiko,mawasiliano na wanaelewana vizuri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom