Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukali wa adhabu uendane na muda aliopitliza kumstiri mwanamke. Mfano mwenye umri wa miaka 38, ikadhibitika mahakamani kwamba ana mke mmoja tu, basi adhabu yake ni kifungo cha (38-35), yaani miaka...
3 Reactions
22 Replies
531 Views
Mtu haend kanisani wala msikitin ila anamuamini mungu na kumwabudu. ila kuenda kwake kanisan n mwiko?
0 Reactions
5 Replies
126 Views
Anonymous
Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Mimi ni kijana wa miaka 29, baada ya kumaliza chuo nilipata intern ya kilimo ulaya mwaka 2023_2024 Baada ya kukamilisha nilirudi Tanzania kuendelea na maisha Sasa katika kupambana ninaye jamaa...
5 Reactions
47 Replies
613 Views
Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi...
104 Reactions
319 Replies
27K Views
KICHWA CHA HABARI: Natafuta "Mganga Konki" (Morogoro/Jirani): Nataka Upeo wa Macho 3D na Kinga ya Chuma | Malipo Baada ya Kazi Habari Wadau wa Jukwaa hili adhimu. Nimekuja kwenu nikiwa na nia...
2 Reactions
45 Replies
580 Views
Unaweza sikia F.B.I,C.I.A au ata utawala mzima wa apo usa unatangaza kua kuna gaidi,jambaz au msaliti flan anatafutwa ivyo yoyote atakae mpata,kumuona au kuchangia taalifa zake basi atapata donge...
1 Reactions
1 Replies
79 Views
Kuna watu duniani ambao ni kama walikuwapo kabla yako kuzaliwa, upo nao mpaka leo, halafu unajiuliza hawa watu wanaishi maisha gani? Unaweza kuzaliwa ukawakuta kina George W. Bush, Bill Gates...
7 Reactions
19 Replies
350 Views
Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021. Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Wananchi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wajitokeza kushiriki zoezi la utwaaji wa ardhi ili kupisha ujenzi wa kambi ya mkandarasi Mradi wa Kimkakati wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha saba...
1 Reactions
1 Replies
138 Views
Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri...
2 Reactions
6 Replies
265 Views
Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha...
14 Reactions
22 Replies
402 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua rasmi mfumo wake mpya wa kidijitali wa PRIS unaowawezesha wateja kujikusanyia pointi wanaponunua mafuta, vilainishi na...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
Jamaa baada ya kuvuliwa uwanachama wa CHADEMA ameamua kuendelea kuipambania chama hicho kwa namna yake ============ Mwenyekiti wa kamati ya kusukuma mchakato wa maridhiano ya Kitaifa na Mchambuzi...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba...
0 Reactions
4 Replies
194 Views
Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa...
6 Reactions
15 Replies
375 Views
Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndingo, ameitaka serikali kuharakisha malipo ya fidia kwa wananchi wa jimbo lake walioathiriwa na upanuzi wa mipaka ya hifadhi ulioingia kwenye maeneo yao. Akichangia...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Na Mwandishi Wetu, Arusha. Serikali imeipongeza Benki ya CRDB Bank Plc kwa juhudi zake za kuhamasisha uwekezaji nchini kupitia elimu ya fedha, uwekezaji wa hisa na uwezeshaji wa kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Ni jambo la kushangaza kwamba hadi leo bado kuna watu ulaya na asia huko wanaouliza “Afrika ni nchi gani?” kana kwamba Afrika si bara lenye nchi zaidi ya 50. Hii inafanya mtu kujiuliza: je...
4 Reactions
10 Replies
254 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akipanda mti pembezoni mwa Mto Mkondoa uliopo Kata ya Kasiki Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Mei 15, 2026. Waziri wa...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…