Kuna jambo la kujiulza
Mtanzania mwenye uelewa na ujuzi wa kulima ,kuvuna na kuuza mazao sokoni, nini kikupeleke ulaya kulea wazee na kuosha vyombo??
Maisha halisi ya watanzania na waafrica...
Kuna Watu leo hii kila siku wanalaumu na wanajiona kama vile hawana bahati hapa duniani wala thamani yoyote ile huku wengine hadi wakifikia hatua ya Kumkufuru Maulana / Mwenyezi Mungu eti Kisa tu...
Hamtupi taarifa mmefikia wapi kumaliza mgogoro wenu wa kisheria na serekali wala hamuoni kuwa mnazidi kupunguza coverage day by day. Watu tulinunua ving'amuzi kwa ajili ya kuhabarika sasa leo...
Du maisha yapo. Leo pia nimepita kuchukua mzigo wangu toka kwa Dr best ynagu hapa Klinikum moja. Njiani unaona kitanda na mtu kalala na drip yake. Of course mazingira safi Hakuna mmbu aber leider...
Hospitali teule ya Mugana iliyoko Wilayani Missenyi imefanikiwa kumfanyia upasuaji kijana mmoja mgonjwa akili mkazi wa Kyerwa mkoani Kagera nakumkuta na vifaa mbalimbali tumboni ikiwemo...
Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
Last week nilitembelea shule ya sekondari ,ipo kariakoo katikati ya Benjamin Mkapa na ile shule ya Viziwi,ni shule ya umma,baada ya kumalizia shughuri yangu wakati natoka nikakutana na wanafunzi...
Habari wandugu hii ni miongoni mwa simu nilizokua nazo
Hii simu tatizo lilianza nilivyoirestore nilirestore kwa bahati mbaya wakati inarestore betri ikachomoka kuanzia hapo ikawa inawaka tu...
Wakuu ndo nimeingia Arusha usiku huu kutokea Dodoma, naulizia wapi naweza kupata huduma tajwa kwa bei poa, zana na hela ninazo, bajeti yangu ni 30,000/nyavu. Nimefikia WAYSIDE HOTEL karibu na City...
Kuna Gari ya matangazo inapita kutahadharisha Raia Juu ya kuchukua Tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na fukwe za coco beach waondoke kwani bahari inaweza kuchafuka muda wowowte.
Nimejaribu...
Jeshi la polisi Mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Salum Mzee Kondo (38),fundi ujenzi mkazi wa Kidongo Chekundu, Bagamoyo aliyehusika na tukio la mauaji ya mkewe, Mwajuma Omary (27) kisha...
Tangazo, wanapima na kutoa miwani bure, lakini hiyo miwani yenyewe sasa daah! ni afadhali hata ile ya wachomeleaji ina vishikio;
Yaani ukitegemea ile miwani kuvuka barabara wallah unagongwa...
Watanzania zaidi ya 50 wanaodaiwa kusamehewa na serikali ya Iran baada ya kufungwa jela kwa makosa ya kukutwa na madawa ya kulevya wanaendelea kusota jela nchini humo kufuatia kusubiri kibali cha...
Martini Luther! Niseme nini tena huyu ndiye Mwanamapinduzi, Mwanamageuzi wangu mkubwa aliyewahi kuishi Dunia hii!
Martini Luther aliyezaliwa huko nchi ya Ujerumani Bara la Ulaya, Mwaka 1517...
Nimegundua ya kwamba 85% ya Wasomi wa Tanzania na hasa ambao wanafanya Kazi Serikalini au ni Watumishi wa Serikali wana tatizo kubwa sana ' Public Speaking ' na wana Kiwango cha chini mno cha '...
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAAHIDI UONGOZI WA KIUTUMISHI NA KUSHUGHULIKA ZAIDI NA UTATUZI WA SHIDA ZA WANANCHI WA JIMBO LA UKONGA – WILAYA YA ILALA*
Tarehe 06 Septemba 2018
Katika Mkutano wa...
Nimepitia sekeseke linaloendelea hapo Kenya kuhusu bei ya mafuta nikajua kweli wenzetu wanajitambua,na sie wa Tanzania tumelala,fikiria Serikali imeweka kodi kidogo kwenye mafuta itakayofanya...
Hiki ni kilio cha muda mrefu cha mawakala hawa waliosambaza pembejeo za ruzuku mwaka 2015.nashindwa kuelewa ni kwa nn serikali inawafanyia uonezi wa namna hivi.na kama inaona **** udanganyifu...