Nilizaliwa na kukua katika kitongoji kidogo nyasho katika mji mdogo musoma mjini. Nilikuzwa katika maadili ya kikristo na kuyashika vema. Siku zote nilitambua kunywa pombe ni jambo baya, na ni...
wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation...
Shule hiyo imefungwa toka mwezi wa 8.kwa sababu ya uchafu wa mazingira sasa ofu yangu ni vipi wataweza kuwasaidia wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne kuweza kufanya vizri kwenye mitihani yao
Mtuache tulipie hizo channel kwa gharama yoyote ile asiyeweza aende huko TING, CONTINENTAL na toto lenu bebwa STARTIMES.
Tupeni fomu tujaze kuji commit kuwa uwezo huo tunao.
Turudishieni local...
Wasichana wa Kitanzania wanaofanya biashara ya ukahaba nchini CHINA wamekuwa na soko kubwa kuliko wale wa nchi zingine. Mabinti wa kitanzania wamekuwa wakigombewa sana na wanaume wanaotafuta...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Afisa uhamiaji katika jijini la Dodoma Edwin Mwasota amewataka wachungaji na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo mkoani Dodoma kuacha tabia ya kualika...
Napendekeza uwepo utaratibu wa kutoa mitihani kila mwaka kabla ya kutoa leseni kwa wafamasia ngazi zote sababu ni kuwa;Wengi hawajisomei na wanaonekana kuwa incompetent sana wanapokuwa...
Kwa Bahati mbaya sana kuna kikundi kimoja mtandaoni ambao wanawatapeli watu wakijifanya wao ni kikundi cha vikoba, kwa kutumia jina la Rais wetu mstaafu wa awamu ya 4 Jakaya Kikwete
Wanawahimiza...
Rais John Magufuli ametaja moja ya sababu zilizomfanya kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Valentino Mlowola kuwa alishindwa kushughulikia mgogoro...
Inawezekana wengi tumeshashuhudia mambo haya yakifanyika kwa baadhi ya watu wetu wa karibu au jamaa wa karibu japo mimi hayajanikuta ila huwa najiuliza
Hivi inakuwaje inakuwa ni rahisi sana mtoto...
Jean -Pierre bemba
Makamu za zamano wa raisi wa Congo DRC bwana Jean-Pierre bemba na kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo, amepigwa marufuku kugombea uraisi wa nchi hiyo utaofanyika mwezi...
Ukizunguka karibu mikoa Yote na aina ya nyumba tunazojenga zinafanana ila znatofautiana mikunjo tu kwa asilimia kubwa. Mtaani kwetu watu wanashusha majumba ya ajabu lakini karubu asilia 98...
JAUME na RAMIS raia wa Barcelona jana tarehe 06/09/2018 wamefunga ndoa ya kihistoria ndani ya Boma la kitamaduni la kimaasai liitwalo Naigoti Emanyata lililopo Olduvai, Idara ya PC wakishirikiana...
Tulikua tumezoea mtu mwenye pesa anaweza akafanya jambo lolote, mimi tofauti yangu mtu mwenye pesa anaweza akafanywa chochote,..kwa hiyo lazima mjue hii tofauti" RAIS MAGUFULI
Wa ndugu huyo anayeonekana kwenye hiyo video ni nani? Inatia huzuni na majonzi mtu aliyekuwa vizuri, leo hii yuko katika hali hii. Namshukuru kuwa anaendelea kumwimarisha.
Leo nimepoke ujumbe kwa njia ya email kutoka hawa mabwana wanaojiita T-MOBILE, ukisomeka kwamba nimefanikiwa kujishindia $1,000,000 (almost TSHS 2 Billion!!!!). Hebu wadau naomba muusome huo...