Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mi natafuta kiguta hapa cha kuchaji.....kama bado unapishana sheli.... wewe ni mpambanaji na pia mshukuru Mungu
8 Reactions
32 Replies
533 Views
Habari za wakati huu wakuu. Nina swali ambalo limekuwa likinitatiza kimantiki, ikiwa shetani alimuasi Mungu kwa kiburi na chuki, mantiki ya yeye kumtesa mwanadamu inatoka wapi? Kwa nini...
8 Reactions
42 Replies
515 Views
Mambo 6 Watu Wenye Nguvu ya Akili Hufanya: 1. Hawapotezi muda kujihurumia. Wanajifunza kuendelea mbele. 2. Wanakubali mabadiliko. Wanapokea changamoto kwa moyo wazi. 3. Wanabaki na...
5 Reactions
7 Replies
142 Views
Salama. Huu mkwamo wa kiuongozi ni kweli upo? Umesababishwa na nini? Je hatua gani zimechukuliwa ili kuweza kutatua changamoto ya huu mkwamo uliopo ? Pengine ni mawazo ya mtu mmoja ,je ndugu...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Kila nikiwaza, huwa nachanganyikiwa. Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa. Ni pale ninapofikiria ahadi za baadhi ya pepo. Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe...
2 Reactions
17 Replies
282 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hayo Mei 15, 2026 wakati akifanya mahojiano katika Kituo cha Redio cha Bongo FM.
0 Reactions
5 Replies
103 Views
Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na...
65 Reactions
284 Replies
13K Views
NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako. PESA HUZAA PESA. BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI. Hakuna cha nyota wala aura...
4 Reactions
13 Replies
241 Views
‎huu uzi nadhani unaweza usipate mpinzani siku za karibuni ‎ ‎huzi wenyewe ni huu 👇🏾 ‎Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia ‎ ‎hapa Joannah akishirikiana na Labella wamemwaga madini...
5 Reactions
3 Replies
144 Views
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA? Kwa...
34 Reactions
572 Replies
28K Views
Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus Mashamba ya mazao ya chakula na...
12 Reactions
50 Replies
1K Views
Wakuu, msaada. Delivery kit inauzwaje?
4 Reactions
59 Replies
429 Views
Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
8 Reactions
125 Replies
2K Views
Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la...
1 Reactions
31 Replies
529 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…