Hifadhi ya wanyama wetu Faru

Hifadhi ya wanyama wetu Faru

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,869
Reaction score
5,170
Nimesoma habari ya kufurahisha kuwa wanyama aina ya Faru watawekewa vifaa maalum kufuatilia nyendo zao kila walipo kuzuiya kuuwawa na majangili.Wanyama hawa wako wachache mno.Nilikuwa nauliza hapa JF je kuna utaratibu wowote kwa wanyama wachache kuwekwa zoo kuzalishwa kwa artificial insemination wakiongezeka waachiwe porini ili kuzuiya kutoweka duniani?
 
Wana ulinzi mkubwa sana na hasa faru John na faru ndugai
 
Nimesoma habari ya kufurahisha kuwa wanyama aina ya Faru watawekewa vifaa maalum kufuatilia nyendo zao kila walipo kuzuiya kuuwawa na majangili.Wanyama hawa wako wachache mno.Nilikuwa nauliza hapa JF je kuna utaratibu wowote kwa wanyama wachache kuwekwa zoo kuzalishwa kwa artificial insemination wakiongezeka waachiwe porini ili kuzuiya kutoweka duniani?
Inawezekana kabisa.
Ila nasikia kuna nchi ya Africa wanafanya hii tayari, na mara nyingi huwa tunanunua huko kukwepa gharama za uzalishaji
 
Huo ni ubadhirifu wa fedha za walipa kodi. Yaani naona huo ni moja ya mpango wa upigaji kama ilivyokua kwa faru John na Jenifa
Sasa huu mradi sijui na wenyewe utapewa fanu nini ......
 
Ni uzalendo tu.Nimeuliza maana mimi ni mwanabayolojia
 
Mkuu, hili neno uzalendo ndio limekua mtetezi wa kila kona yenye upigaji.
Mkuu, kwani wewe unapata faida ama hasara ipi inakugusa moja kwa moja hasa kwenye hizi saga za akina faru...[emoji53] [emoji53]
 
umeingiza mada nzuri ila kama kawaida yetu ya uchangiaji hatuko makini na mada iliyoletwa,Faru ni mmoja wa wanyama ambaye yupo kwenye list ya kutoweka kabisa hapa duniani,hebu tufikirie itakuaje kwa watoto wetu kutokuwa na uwezo wa kuwaona Faru bali kwenye picha,au mikanda ya sinema ?ni muhimu tukajifunza wenzetu wanakabiliana vipi na tatizo hili utumiaji wa nguvu ambao ndio asili yetu hautupeleki kokote,operation uhai imetuachia makovu mengi tu ikiwa na watu wasio na hatia kupoteza uhai wao na tatizo bado lipo pale pale,kwa hiyo hapa ni akili tu na tecknolojia ndio njia pekee,utunzaji wa wanyama hawa kwenye zoo halafu uwamwage porini sio rahisi kiasi hicho maana ukuaji wao wa kiasili utabadilika maana watakuwa wanategemea kupata mahitaji yao kwa binadamu kwa hiyo ku survive kwenye mbuga itakuwa shida sana,njia za kisasa kama za kuwa na vitendea kazi bora vya kuwalinda hawa tuliobakiwa nao kama magari na helikopita ni muhimu,vile vile tufundishe mbwa kwa ajili ya kutusaidia kusaka porchers,kuwafunga collar hawa faru ili kufuatilia nyendo zao porini,kutunza DNA ya kila faru ili kurahisisha uchunguzi wakati something goes wronkwa mnyama,elimu hasa kwa wananchi wanaoishi maeneo karibu na mbuga na waelewe kuwa huu ni moja ya utajiri wao.
 
Ahsante umenijibu kitaalam
 
Back
Top Bottom