Tujikumbushe mashambulio ya kigaidi ya 11 September.....

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,136
27,079
Ilikuwa majira ya asubuhi, Jumanne ya tarehe 11 mwezi septemba mwaka 2001 ambapo dunia ilipatwa na mshtuko kutokana na mashambulizi ya kigaidi ndani ya ardhi ya Marekani!

Yalikuwa ni mashambulizi ya aina yake kwa namna yalivyoratibiwa na kutumia ndege kama silaha!! Magaidi walifanikiwa kujipenyeza ndani ya ndege kama abiria wa kawaida na baadaye kufanikisha utekaji na kufanya mashambulio!!

Ndege mbili zilitekwa na kushambulia majengo pacha ya kituo cha biashara cha kimataifa (WTC)! Ndege zilizohusika ni American Airlines Flight 11 na United Airlines!

Ndege nyingine American Airlines flight 75 ilishambulia yalipo makao makuu ya jeshi la Marekani(Pentagon) huko Arlington County katika jimbo la Virginia!

Ndege ya nne ilitekwa na kuelekezwa kwenda katika mji wa Washington DC ... na inasemekana target ilikuwa ni kushambulia ikulu ya Marekani, ndege haikufanikiwa kufika WDC na ikaanguka katika jimbo la Pennsylvania!! Duru za awali zilidai kuwa abiria walijaribu kupambana na magaidi hali iliyopelekea hiyo ndege kuanguka, hii ilikuwa ni United Airlines Flight 93!!

Takribani watu 3000 waliuwawa huku wengine zaidi ya 6000 wakijeruhiwa... Mashambulio haya yalisababisha hasara ya jumla $3 trillion!!

Baada ya tukio la Sept 11 lawama na shutuma mashambulizi ziliangushiwa kwa kundi la Al-Qaeda!! Osama Bin Laden kiongozi mkuu wa kundi hilo alikana kuhusika kwa namna yeyote ila aliwapongeza wale waliotekeleza hayo mashambulio!!

Haukupita muda serikali ya Washington chini ya Rais George Bush iliitaka serikali ya Afghanstan ambayo ilikuwa chini ya utawala wa Taliban imkabidhi Bw. Osama mikononi mwa serikali ya Marekani mbali na hapo ingekabiriwa na mashambulio ya kivita!! Siku ziliyoyoma, serikali ya Taliban chini ya Mullar Omar iligoma kumkabidhi Osama, mashambulio ya anga na hatimaye ya ardhini yalifanyika na kuufutilia mbali utawala wa Taliban!! Northen Alliance waliokuwa waasi kwa wakati huo walifanikiwa kudhibiti mji wa kabul wakisaidiwa na jeshi la Marekani!!

Licha ya mashambulio makali hasa katika milima ya Torabola ilikodaiwa kuwa ndiko yalikuwa makazi ya magaidi katika mahandaki, si Osama wala Mullah Omari aliyepatikana!!
--------*------

Sasa takribani miaka 17 imepita toka mashambulio haya, wapo wanaoamini kwamba Us haikushambuliwa bali lilikuwa tukio la kutengenezwa tu ili kukamisha mission zao! Hizi zinaitwa conspiracy theories, ambazo mara nyingi huwa zinaacha maswali mengi yasiyo na majibu! Je wewe unaamini ukweli ni upi juu ya yale mashambulizi
 
nikumbukizi yenye huzuni kwetu sisi wapenda demokorasia
 
Jana ilikuwa kumbukumbu ya kuzama kwa Mv Spice islander huko mkondo wa Nungwi na iliua mamia ya watanzania, nimepitia nyuzi zako sijaona umeweka kumbukizi lakini kwa kupapatikia vya wazungu hujambo.
Hiyo Meli ilipozama ilileta impact gani kwa Dunia?
 
Jana ilikuwa kumbukumbu ya kuzama kwa Mv Spice islander huko mkondo wa Nungwi na iliua mamia ya watanzania, nimepitia nyuzi zako sijaona umeweka kumbukizi lakini kwa kupapatikia vya wazungu hujambo.
Kwanini wewe usingeanzisha uzi wako wa hiyo MV Spice Islander?
 
Anzeni kuandika na kumbukumbu za Vita ya kagera,mapinduzi ya Nyerere(majaribio matatu),kumbuka za mv bukoba, mv Spice, andikeni kumbukumbu za ajari ya treni Dodoma,andikeni za mauji kibiti,andikeni kumbukumbu za mapinduzi Zanzibar, andikeni kumbukumbu za mvua za elnino, andikeni kumbukumbu za kutekwa ndege yetu, andikeni kumbukumbu zetu jamani, andikeni za kwetu wajukuu na vitukuu vyetu wajue, vita za majimaji, wajue sisi ni nani jamani andikeni vya kwetu kwanza......
 
Jana ilikuwa kumbukumbu ya kuzama kwa Mv Spice islander huko mkondo wa Nungwi na iliua mamia ya watanzania, nimepitia nyuzi zako sijaona umeweka kumbukizi lakini kwa kupapatikia vya wazungu hujambo.
Ficha ujinga wako mv spice ni shambulio la kigaidi..? hiyo jana niliona uzi humu kuhusu mv spice ulitaka ziandikwe nyuzi ngapi..
 
Ilikuwa majira ya asubuhi, Jumanne ya tarehe 11 mwezi septemba mwaka 2001 ambapo dunia ilipatwa na mshtuko kutokana na mashambulizi ya kigaidi ndani ya ardhi ya Marekani!

Yalikuwa ni mashambulizi ya aina yake kwa namna yalivyoratibiwa na kutumia ndege kama silaha!! Magaidi walifanikiwa kujipenyeza ndani ya ndege kama abiria wa kawaida na baadaye kufanikisha utekaji na kufanya mashambulio!!

Ndege mbili zilitekwa na kushambulia majengo pacha ya kituo cha biashara cha kimataifa (WTC)! Ndege zilizohusika ni American Airlines Flight 11 na United Airlines!

Ndege nyingine American Airlines flight 75 ilishambulia yalipo makao makuu ya jeshi la Marekani(Pentagon) huko Arlington County katika jimbo la Virginia!

Ndege ya nne ilitekwa na kuelekezwa kwenda katika mji wa Washington DC ... na inasemekana target ilikuwa ni kushambulia ikulu ya Marekani, ndege haikufanikiwa kufika WDC na ikaanguka katika jimbo la Pennsylvania!! Duru za awali zilidai kuwa abiria walijaribu kupambana na magaidi hali iliyopelekea hiyo ndege kuanguka, hii ilikuwa ni United Airlines Flight 93!!

Takribani watu 3000 waliuwawa huku wengine zaidi ya 6000 wakijeruhiwa... Mashambulio haya yalisababisha hasara ya jumla $3 trillion!!

Baada ya tukio la Sept 11 lawama na shutuma mashambulizi ziliangushiwa kwa kundi la Al-Qaeda!! Osama Bin Laden kiongozi mkuu wa kundi hilo alikana kuhusika kwa namna yeyote ila aliwapongeza wale waliotekeleza hayo mashambulio!!

Haukupita muda serikali ya Washington chini ya Rais George Bush iliitaka serikali ya Afghanstan ambayo ilikuwa chini ya utawala wa Taliban imkabidhi Bw. Osama mikononi mwa serikali ya Marekani mbali na hapo ingekabiriwa na mashambulio ya kivita!! Siku ziliyoyoma, serikali ya Taliban chini ya Mullar Omar iligoma kumkabidhi Osama, mashambulio ya anga na hatimaye ya ardhini yalifanyika na kuufutilia mbali utawala wa Taliban!! Northen Alliance waliokuwa waasi kwa wakati huo walifanikiwa kudhibiti mji wa kabul wakisaidiwa na jeshi la Marekani!!

Licha ya mashambulio makali hasa katika milima ya Torabola ilikodaiwa kuwa ndiko yalikuwa makazi ya magaidi katika mahandaki, si Osama wala Mullah Omari aliyepatikana!!
--------*------

Sasa takribani miaka 17 imepita toka mashambulio haya, wapo wanaoamini kwamba Us haikushambuliwa bali lilikuwa tukio la kutengenezwa tu ili kukamisha mission zao! Hizi zinaitwa conspiracy theories, ambazo mara nyingi huwa zinaacha maswali mengi yasiyo na majibu! Je wewe unaamini ukweli ni upi juu ya yale mashambulizi
Sijakuelewa hapo ina maana Osama hajapatikana?
 
Nilikuwa form four zanaki secondary school sitasahau lile tetemeko mitaa ya upanga maana ni karibu na maeneo ya balozi hebu fikiria zile km lakin tuliipata kisawasawa pale zanaki.. tulikuwa mstarin hatukujua nn ila mtetemeko tuliupata na baaadaye kuruhusiwa kurudi home.. ndo kujua kilichotokea sitasahau kabisa ktk maisha yangu lile tukio..
 
[HAPPY BIRTHDAY TO YOU 🎉🎉🎉🎉🎉QUOTE="Septemba11, post: 28322274, member: 120174"]September 11 hii tarehe bwana, anyway happybirthday to me!!![/QUOTE]
 
Ucseme dunia ilipata mshituko,only marekani waliopatwa na mshituko huo. Wengine 2lifurahi sana 2. So Walimdhulumu Osama naye akawaripua. Iyo cku nilikuwa nafuraha sana.
 
Sitaki kukumbuka maana mateso yanayotupata wakati tukisafiri tangu hiyo 11/9 ni zaidi ya hayo mabomu. Screen tunazopitia, kutomaswa, mapicha na kukaguliwa mara 5 kwa safari moja ni balaa.
 
Back
Top Bottom