Umeme huu wa stigler's gorge!

Umeme huu wa stigler's gorge!

Silverone

Senior Member
Joined
Jun 29, 2018
Posts
126
Reaction score
186
Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu wengi wamelalamika kuunguliwa vitu vyao.
 
Tukusaidieje Sisi!
By The Way, Napita Tu Mkuu!
 
Kwann usianze kutoa taarifa kwanza kwa wahusika (Tanesco)
Huenda taarifa hawana, ukiwapa taarifa wanaweza kutatua hilo tatizo mapema.
 
Headline yako sijaiyelewa! una maanisha Stiegler's Gorge imeshaanza kutoa umeme au nini yani?
 
Back
Top Bottom