CCM nawatskia heri chaguzi za leo.

CCM nawatskia heri chaguzi za leo.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,894
Reaction score
15,116
Leo chaguzi za marudio.
Napenda kuwatakia heri chama changu CCM.

Hii ndo demokrasia, kushinda au kushindwa ni uamuzi wa wananchi.

Good luck CCM.
 
Heri kwamba wanategemea kura ?! CCM wanawategemea watendaji wa kata, wakurugenzi wa halmashauri za miji na wilaya, police n.k.
Kwa hali ilivyo tunafanya mambo ya aibu e.g. Kinondoni, Siha, Buyungu, Tarime, Arusha nk.
Kifupi hakuna ushindani wa Uchaguzi bali kuna matakwa ya fulani yatimizwe.
 
Tuwe na uchaguzi wa amani.
 
Back
Top Bottom