Mkuu nina mpango wa kusafiri dar-mwanzaKama unakaa porini huko utaiona wapi?
Ndege ipo wewe fanya Booking.Mkuu nina mpango wa kusafiri dar-mwanza
Mumbai ipi hiyo,labda ile ya UkongaNdege ipo, inaanza safari za Mumbai muda si mrefu.
Wewe usitupangie mh alisema analeta ndege ya kutoka tz mpk kwa trump hakusema haya unayosema wwNi juzi tu,mwezi June..kampuni ya MONARCH AIRLINES ililazimika kuacha anga na kukabidhi kampuni kwa wafilisi kutokana na madeni($200mil)...kwa ushauri tu ‘si vyema kuanza safari za kimataifa’ huku TSH ikiwa inafanya vibaya dhidi ya USD
*Uzoefu wa safari walau za Afrika Mashariki kwa muda wa 1-2year...then ndipo international.
*Ni mara yetu ya kwanza kumiliki ndege kama hiyo($150mil~TSH 300bn)...si vyema kupoteza hiyo hela yoote kwenye hasara kwa makosa ya uendeshaji,kama ilivokua awali.
Wewe usitupangie mh alisema analeta ndege ya kutoka tz mpk kwa trump hakusema haya unayosema ww
Ni sawa na kununua yutong halafu linaenda mbezi-postaKwa hiyo sasa ivi inaenda wapi? Imepaki? Au bado inapiga Dar-kjro-mza?