Mwijage ni waziri wa kilimo au viwanda mbona simwelewi?

Mcben100

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
378
556
Naona anahangaika sana na ufunguzi wa maghala ya chakula mimi nilifikiri hii ni kazi ya waziri wa kilimo sio waziri wa viwanda au hakuna viwanda vya kufungua ndo maana anaingilia kazi ya wizara nyingine.
 
Kosa lake lipo wapi? Watanzania tuache kulia lia
Hakuna anaelialia ni kuhoji tu does it make sense waziri wa viwanda kuhangaikia maghala ya chakula me nadhan hii ni kaz ya wizara ya kilimo. Hata ivo haituaffect chochote sisi. Hoja ni kua maybe hakuna kazi za kufanya huko wizara ya viwanda.
 
Serikali ni moja si vibaya kushirikiana au ulitaka Mhe. Dr. Dovutwa (PhD) ndo akazindue hayo maghala
 
Hakuna anaelialia ni kuhoji tu does it make sense waziri wa viwanda kuhangaikia maghala ya chakula me nadhan hii ni kaz ya wizara ya kilimo. Hata ivo haituaffect chochote sisi. Hoja ni kua maybe hakuna kazi za kufanya huko wizara ya viwanda.
Serikali ni moja si vibaya kushirikiana au ulitaka Mhe. Dr. Dovutwa (PhD) ndo akazindue hayo maghala?
 
Hakuna anaelialia ni kuhoji tu does it make sense waziri wa viwanda kuhangaikia maghala ya chakula me nadhan hii ni kaz ya wizara ya kilimo. Hata ivo haituaffect chochote sisi. Hoja ni kua maybe hakuna kazi za kufanya huko wizara ya viwanda.
%10000000000000000000
 
Huyo huwezi kumwelea Mkuu..
Alisema anafamilia inamtegemea wasijemuharibia kibarua chake tumuonee huruma watanzania.
 
Kila nikimuona Mwijange nazidi kuamini uchawi upo kabisa,

Huyu jamaa karoga hadi jiwe,anabwabwaja lakini hakuna anachofanya huku anazidi kuaminiwa kwa takwimu fake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom