Nasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote...
Nimeangalia Vichwa vya Habari vya leo Jumapili tarehe 23, Septemba 2018 na mpaka sasa hivi nimebaki na ‘ mshangao ‘ mkubwa sana ambao unasindikizwa na ‘ masikitiko ‘ makubwa hasa kwakuwa...
ULIMI RANGI SABA.
Na, Robert Heriel
Ukumbi wote ulikaa kimya. Giza totoro lililokuwa mule ndani lilitosha kuvuta hisia za mtu mwoga. Wote walikuwa wamesujudu wakiwa na majoho meusi yenye makofia...
Huku kwetu sumbawanga tunakokula panya alikuwepo kaka yetu mmoja alikuwa akioa na kuacha yaani hadumu na mke na wake wote aliowaacha baba alilipa mahali zote.
Siku moja alipoacha mke akataka kuoa...
Jumamosi tarehe 15/09/2018 kuna tukio la kitapeli limetokea dukani kwangu. Alikuja mteja, akamkuta mke wangu dukani, akataka kununua extension aina ya tronic ila akajifanya amesahau ni ya matundu...
Habari za weekend waungwana wenye akili zilizotimilika!
Kama mada inavyosema hapo juu kwakweli wanaume wa mkoani haswa kanda ya ziwa mmetuabisha wanaume wa Tanzania.
Kitendo cha wanaume hao...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa natarajiwa kuwasili katika kijiji cha Bwisya Kisiwa cha Ukara kuongoza ibada ya mazishi ya baadhi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere...
Ama kweli ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza watanzania wengi kiasi hiki kwa wakati mmoja, ni pigo kubwa kwa taifa letu.
Inauma sana inasikitisha sana.
Mungu awapokea Kwa amani
Salamu zangu kwenu;
Ubani ni utomvu utokanao na jamii fulani ya miti ipatikanayo kati nchi za Ethiopia na nyingine za bala la Asia.
ubani umekuwa ukitumika tangu enzi za kale katika ibada mbali...
Ni karibu miaka minne sasa ilichofanyika ni kuweka vifusi tu lakini hakuna kinachoendelea ujenzi wa barabara hiyo unatakiwa kuwa wa kiwango cha Lami
Licha ya ahadi nyingi za kila mwaka za...
Kuna baadhi ya nyumba ukizitembelea ni kama umeenda kwenye *usahili!*
Nilienda kumtembelea rafiki anayetoka familia tajiri sana!. Dada anayewasaidia kazi akanisogelea na kuniuliza.*
*DADA:*...
Habari wana JF,
Hili swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie hizo hizo tangu mwaka uanze linakera. Inapoteza maana ya kuwa moja ya burudani kwa wasafiri. Mfano mabasi ya Super...
Ni masikitiko yangu makubwa kwa kila ajali ya usafiri wa majini unapopata ajali, utasikia taarifa za chombo kilikuwa kimebeba kupitiliza uwezo wake. Nikianza na tukio la kuzama kwa MV BUKOBA mwaka...
Hivi huwa inakuwa kuwaje mpaka mtu anafikia maamuzi ya kuoa ? Hizo story huwa anazianzishaga Nani? Me au Ke ?
I say yani kwa jinsi nilivyo kuwa serious, huyo mwanamke anaanza anzaje kuniambia...