Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama Mada inavyojieleza. Kwa mawazo yangu, kutoza fine kwa makosa yanayoweza kusababisha maafa ya watu wengi huchangia kuliendeleza tatizo kuliko kulimaliza. Mfano makosa ya uzembe barabarani kwa...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Nina jirani yangu kaajiliwa wilaya ya Tunduru ,huyu jilani kwao wamezaliwa yeye na mdogo wake ambae sasa yupo chuo ,baba yao alishafariki wakiwa bado wangali wadogo sana kwa sasa wamebakiwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"Ninasikitika kwa sababu mshikamano tunaohimizwa kuuonesha pale viongozi wenzetu wanapokuwa na matatizo kama vile kesi mahakamani sio ambao leo umeoneshwa kwa wananchi wangu wa Ukerewe, mpaka sasa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Pole tanzania, nitashangaa kama kodi ya watanzania itumike kulipa tume . majibu haya hapa 1 kivuko kiligeuzwa Meli wakati designation yake ni kama paton la kigamboni 2 matumizi ya simu wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nazindua maviwanda,mabarabara,majengo ambayo yangezinduliwa na mwenge wa Uhuru tu! Lakini nashindwa kwenda kutoa faraja kwa ajili ya wenzangu zaidi ya 200 waliofariki. Natuma mwakilishaji Mungu...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Wasalaam! Wengi tutakubaliana kuwa serikali inatumia pesa nyingi sana kutengeneza Barbara za lami! Kwa muda sasa magari makubwa yenye uzito mkubwa na ya abiria wanatakiwa kutembea speed 80 kubwa...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Sikatai umbea,ila umbea kidogo kazi nyingi. Mambo ya msingi ya taifa na mambo ya kiuchumi na kimanufaa hatujadili tumegeukia umbea na majungu tu Posts za umbeya zinakua na comments za kufa mtu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeangalia Vichwa vya Habari vya leo Jumapili tarehe 23, Septemba 2018 na mpaka sasa hivi nimebaki na ‘ mshangao ‘ mkubwa sana ambao unasindikizwa na ‘ masikitiko ‘ makubwa hasa kwakuwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
ULIMI RANGI SABA. Na, Robert Heriel Ukumbi wote ulikaa kimya. Giza totoro lililokuwa mule ndani lilitosha kuvuta hisia za mtu mwoga. Wote walikuwa wamesujudu wakiwa na majoho meusi yenye makofia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huku kwetu sumbawanga tunakokula panya alikuwepo kaka yetu mmoja alikuwa akioa na kuacha yaani hadumu na mke na wake wote aliowaacha baba alilipa mahali zote. Siku moja alipoacha mke akataka kuoa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Jumamosi tarehe 15/09/2018 kuna tukio la kitapeli limetokea dukani kwangu. Alikuja mteja, akamkuta mke wangu dukani, akataka kununua extension aina ya tronic ila akajifanya amesahau ni ya matundu...
28 Reactions
79 Replies
9K Views
Habari za weekend waungwana wenye akili zilizotimilika! Kama mada inavyosema hapo juu kwakweli wanaume wa mkoani haswa kanda ya ziwa mmetuabisha wanaume wa Tanzania. Kitendo cha wanaume hao...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Tafsiri halisi ya kufanikiwa ipoje? Je, nikiwa tajiri nikaweza kupata nitakacho nimefanikiwa? Mke? Mume? Mali? Kufanikiwa ni nini hasa?
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa natarajiwa kuwasili katika kijiji cha Bwisya Kisiwa cha Ukara kuongoza ibada ya mazishi ya baadhi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ama kweli ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza watanzania wengi kiasi hiki kwa wakati mmoja, ni pigo kubwa kwa taifa letu. Inauma sana inasikitisha sana. Mungu awapokea Kwa amani
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Salamu zangu kwenu; Ubani ni utomvu utokanao na jamii fulani ya miti ipatikanayo kati nchi za Ethiopia na nyingine za bala la Asia. ubani umekuwa ukitumika tangu enzi za kale katika ibada mbali...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
For the same pay,would you rather a.Work 40 hours a week for someone else b.Work 80 hours a week for yourself
0 Reactions
8 Replies
836 Views
Ni karibu miaka minne sasa ilichofanyika ni kuweka vifusi tu lakini hakuna kinachoendelea ujenzi wa barabara hiyo unatakiwa kuwa wa kiwango cha Lami Licha ya ahadi nyingi za kila mwaka za...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Kuna baadhi ya nyumba ukizitembelea ni kama umeenda kwenye *usahili!* Nilienda kumtembelea rafiki anayetoka familia tajiri sana!. Dada anayewasaidia kazi akanisogelea na kuniuliza.* *DADA:*...
19 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…