Mimi nipo kahama mjini,nimeajiliwa katika duka la hardware, kuna mtoto wa boss wangu amemaliza kidato cha nne lastyear, amekuwa akinitaka kimapenzi,mfano tukibaki sisi tu nyumbani anakuwa...
Wakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa...
Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi.
hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k...
Sidhani kama Wazanzibari wanapata shida sana kuja na magari yao private kama ilivyokuwa Wabara kwenda Zanzibar. Yaani unakumbana na vikwazo chungu nzima mpaka mwenyewe unaghairi, afu eti tuna...
Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa burqa(ninja) mashuleni?
Nimeona mwanafunzi wa kike kama wa kidato cha pili amevaa burqa(ninja) anaenda shule nikashaangaa sana.
Ukiacha kuwa ni mwanafunzi...
Hamjambo Wote!
1. Mimi nimesoma Dini Kupitia Ukristo, dhehebu Usabato.
2. Ninauelewa kiasi WA mambo ya Dini nafikiri katika mambo ninayoyajua akilini mwangu ukiacha Mahusiano, saikoloji...
Wqkuu salama?
Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni.
Taifa...
Kila bidhaa hasa bidhaa za vyakula,vinywaji,dawa nk kutoka viwandani huwa vina expire date zake, zingatia kila ununuapo bidhaa hivyo unaangalia expire date ili usije ukawa unajiharibu mwenyewe.
Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania.
Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha...
Yaani mtandao mmoja unakuwa na huduma mbili za kifedha. Kwa nini kama lipa namba haina makato makubwa,kwa nini kusiwepo na huduma moja isiyo na makato? Hii mitandao kuna mahala inatuumiza wateja.
Watu wengi hawaishiwa fedha kwa sababu hawapati kipato…
Bali wanaishiwa fedha kwa sababu hawawezi kusema HAPANA.
Kama hutalinda pesa zako, mtu mwingine atazitumia kwa niaba yako.
Hivi ndivyo...
Baada ya Fortunatus Buyobe kuanikwa nina hofu na wasiwasi pia na askofu Bagonza.
In your life don't trust anyone even your own shadow you'll survive. Always seek divine guidance.
adriz de mbusii
Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Bw. Kheri Mahimbali, amewataka watumishi wa taasisi hiyo kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kutenda mema katika utumishi wa umma, huku akisisitiza kuwa kutenda wema ni...