Ndugu wananchi wa Kenya na Tanzania,kwa takribani wiki mbili sasa,kumekuwepo na UPOTOSHAJI (usiojulikana malengo yake) kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu kuibuka kwa "VITA YA...
Mkuu wa wilaya kigamboni Sara msafili,Leo tarehe 26 September kafanya ziara ya kushitukiza na kubaini kivuko cha MV magogoni baadhi ya maboya hayachomoki, pia kashauri kuwekwe namba ya dharula kwa...
Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya...
Ndugu zangu wanachuo leo vodacom wamepandisha gharama za vifurushi kwa wanachuo,
hapo nyuma 1. sh 500 ilikua ni mb 500 Dk 50(voda to voda) na sms 500 ila leo hicho kifurushi ni 1000,
hakuna...
Habarini za jioni?? Nimekuja kwenu kuwasilisha ujumbe huu umfikie Melard Ayo na wenzie walioamua kuchezea tasnia ya takwimu na tafiti kwa kujificha nyuma ya '' wataalam wa mambo''
Eti"Wataalam wa...
Naomba nikiri kwanza kama nchi tuna tatizo kubwa sana la wahitimu wetu kutokuimudu vizuri lugha ya kingereza na hii inatokana na ukweli kwamba mfumo wetu wa elimu ni tatizo. Je nini kifanyike...
Tatizo la upweke ambalo linawakumba watu wengi hasa wenye umri wa zaidi ya miaka 50, litawaumiza mamilioni zaidi duniani ndani ya kipindi cha muongo mmoja, kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni...
Waasalam !!
Kwa kweli hawa jamaa wanakera sana sana, yaani kila baada ya kilometa mbili tatu unasimamishwa ukaguzi ni ule ule, hivi hawajui muda huu tulionao kwa mtu active muda ni kitu muhimu...
Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Sekondari ya Mbezi (19), Juma Idd leo Jumatano Septemba 26, 2018 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kumpa ujauzito...
Heshima kwenu wakuu,
Nakumbuka kule Nungwi watu waliogelea kilometa tano hadi wakaogelea. Eti hawa Wasukuma wanajiita wanaume wa mkoani wanashindwa kuogelea mita 50.
Wapemba wanaogelea kwenye...
Wana JF,,tusaidiane hapa; Ikiwa mtu kakuomba kiasi fulani cha fedha, unacho hicho kiasi ila ukifikiria sababu kubwa ya kumpa fedha hiyo kulinganisha na matumizi yako huioni...Utampa jibu gani la...
Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
Hali imekuwa mbaya sana kwa maeneo tajwa hapo juu. Wezi wamekuwa wakivunja nyumba na kuingia ndani kuiba TV na vyombo vingine vya ndani.
Mifugo pia imekuwa ikiibwa, yaani watu wanaiba zizi zima la...
RC HAPI ABAINI MADUDU MANISPAA YA IRINGA
Udhaifu, upigaji kwenye miradi inayosimamiwa na manispaa vyabainika.
Migogoro ya ardhi Kihesa yateka mkutano
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi amefichua...
Zaidi ya watu milioni 3 walikufa kutokana na matumizi ya pombe mwaka wa 2016, sawasawa na kifo 1 kati ya 20 duniani kote, kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani.
Zaidi ya asilimia 75...
Wasalam wakuu,
Kama uzi unavyojieleza nashukuru Mungu ndoto yangu ya kumiliki usafiri binafsi imetimia na sasa natamba barabarani, well lengo sio kuonyesha kama nimenunua gari lakini nilikuwa...
Jaroslav bobrowski (30) wa Ujerumani amefungiwa kula katika mgahawa mmoja nchini humo baada ya kumaliza sahani 100 za chakula,
Bobrowski huwa hali chochote kwa muda wa masaa 20,hivyo anapoamua...
Jacinda Ardern
AKIWA amefuatana na mwanaye mchanga na mpenzi wake katika ukumbi wa mkutano, Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern, ametoa hotuba yake ya kwanza katika Baraza Kuu la Umoja wa...