Azam sports 2 mnapwaya sana katika kipengere cha slowmotion,hamuoneshi vizuri tukio limetokea vp katka pande zote.Kwanini hamujifunzi ata supersport wanavofanya tatzo ni nini hasa? Ukiangalia mpira supersport hauwezi kutamani tena kuangalia mpira Azam sport 2 sielewi tatizo ni nin hasa?