Mzuqa.
Wanaume maaruf duniani wenye miaka 45 kuendelea kwa kas sasa hivi wanajaza mashavu kuonekana vijana.
Inasemekana Putin, Rambo, Tom Cruise, Denzel washington wameshapitia "under the...
Ni nadra sana mtu anapopata binti wa kazi za ndani kumkagua mwili wote ili kujiridhisha. Wakina mama wengi huwachukua wasichana na kuwakabidhi nyumba na watoto kienyeji. Endapo umemchukua huyu na...
WALIMU saba katika shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wamefukuzwa kazi kwa makosa mbalimbali ikiwamo utoro kazini.
Akitoa taarifa kwa...
Chacha aliyekuwa na ujauzito wa miezi saba, anadaiwa kugongwa na gari la jeshi hilo wakati akiwa kwenye bodaboda aliyokuwa amepanda.
Tukio hilo linadaiwa kutokea juzi wilayani humo na kusababisha...
Wadau,
Napenda kutoa wazo au ushauri au msukumo au kuishawishi serikali kwamba daraja hili la mto Wami sasa linatutia aibu na lijengwe kisasa sasa maana kwa miaka hii 50 ya Uhuru hatupashwi kuona...
Habari wakuu,
Rejea kichwa cha habari,
Hebu toa maoni yako ,hii ni baada ya kusikia kituo cha sheria na haki za binadamu(legal human right center LHRC) kutoa tamko juu ya TUCTA kupoteza muelekeo...
Kurogwa sio udhaifu wakuu ni utamaduni tu.
Nilipigwa biti mahala nikaambiwa nimepewa muda wa maangalizi wa miezi miwili baada ya hapo ni kurogwa kwa kwenda mbele.
Kwa kweli baada kipindi cha...
Kuna majina yamekuwapo katika siasa za Tanzania kwa karibu miongo 30 sasa. Hawana jipya. Wakati mwingine inakirihisha kusikia majina yao kila siku kila mwaka.
Mtu kama Edward Lowassa amekuwa...
Habari za asubuhi,
Mh. Rais Alitoa agizo kwa taasisi zote za serikali kuhakikisha wanatoa tenda ya ulinzi kwa SUMA JKT, hali sio hivyo pale muhimbili.
Sina chuki na kampuni binafsi ila watumishi...
Mwaka 1998 kampuni ya vifaa vya umeme Sony walijisahau katika uzalishaji wakatengeneza kamera karibu 700,000 zilizokuwa na uwezo wa kuonyesha mtu alichovaa ndani.
Hizi zilikuwa ni Camera...
Kuna Muda Na Mmisss Saana Yule My Ex Aliniumizaga Sana Lakini Tatizo Sina Hata Bible Kwa House!
Maana Watu Wanasema Ukiona Una Mmisss Sana Ex Wako Hasa Yule Aliyekuumiza Sana Inabidi Uchukue...
PRINCE WILLIAM AICHAGUA SAME KWA MAPUMZIKO
[emoji184]Ni katika Ziara yake ya kutembelea nchi za Afrika iliyoanzia nchini Namibia, Tanzania na baadaye Kenya na kwingine.
Atakaa Tanzania siku...
"Kuchukia neema ya mwenzako haifanyi ije kwako"
Mi natoka kabila moja linalodhaulika sana, nilipata nafasi ya kwenda Kilimanjaro 2015 , hakika hata vijiji vya kule ni tofauri na mikoa mingine...
Jamani msinione lofa mie bado cjabahatika kupata mtoto ila jilani yetu mmoja kwenye hii nyumba niliyopanga anamtoto wa miaka minne cha ajabu huyu mtoto mpaka mida ya saa tano au sita ya usiku bado...
Hizi HADITHI Mheshimiwa wa TABORA hazitaki kabisa, ukizileta mbele yake kama hakukusukuma ndani basi anakufyekelea mbaaaliii.
Note: navihitaji tafadhari maana nahisi kama niliruka stage.
Wiki iliopita ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kuwa zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea, wametoa muda kwa wakazi hao...
Ni swali tu nimejiuliza kichwani kutokanana na changamoto tunazopitia sisi walala hoi.
kwamba hivi ikitokea sisi wananchi tukasusia uchaguzi wowote ule tukaendelea na shughuli zetu tusiende...
Intel Schools ni shule iliyoko katika Kata ya Terat (Kwa Mrombo) jiji la Arusha ambayo iko km 10 kutoka katikati ya jiji hilo.
Kuna shule ya Awali, msingi, na sekondari, shule ni ya...
Habar za leo ndugu wanajukwaa,
Kwenye mada moja kwa moja;sote tunaoamini tunafaham kuwa shetani alikuwa ni malaika wa sifa huko mbinguni (alikuwa muimbaji) baadae alipotaka kuichukua nafasi ya...