Wakuu habari ,ninategemea kusafiri kuelekea Nairobi mwishoni mwa mwezi huu, je? Ni Bus gani zuri lenye Ac, viti vyenye nafasi ndani, yaaki kwaufupi luxury Bus, Linalotokea dsm kwenda Nairobi...
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na...
Kichwa cha habari chahusika, familia yetu tulizaliwa wakaka watatu na wadada wanne, mimi ni wa pili katika wakaka, bahati nzuri katika wakaka wawili tumefanikiwa kimaisha hata huyo watatu hayuko...
MDAHALO KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII KWA VIJANA TANZANIA
Katika mwendelezo wa kuibua mawazo na mijadala katika suala la matumizi ya Mitandao ya Kijamii na Mtandao wa Internet kwa ujumla...
Serikali imesema haina mpango wa kutoa fedha kwa ajili ya kupanua Magereza yaliyopo na badala yake italitumia jeshi la polisi kupunguza uhalifu na kutoa adhabu mbadala kwa watu wanaokutwa na...
Juzi Juzi nilitembelea kijijini kwetu maeneo ya kanda ya ziwa katika harakati za hapa na pale , lkn kwa kuwa nami nimuenyeji Wa maeneo hayo na watu wengi tunafamiana nao ,nikapata Bahati ya...
Watu wanakimbia huku na huko wasijue la kufanya
Inadaiwa kuwa umelipuka kutoka ghorofa ya 3 ya jengo hili huku chanzo chake kikiwa bado hakijajulikana
Inaelezwa kuwa huenda kuna baadhi ya Watu...
Leo tarehe 04/10/2018, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, anafanya ziara katika eneo la mradi wa umeme wa Rufiji (2100) ambapo atakagua utekelezaji wa...
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia, Mathias Lusinga, kwa kosa la kukutwa na sare za jeshi hilo Kitengo cha Usalama Barabarani na kujifanya trafiki, kisha kukamata madereva wa bodaboda...
Wakuu hii ni mada maalumu kwa wale wote ambao wamekutana na mkasa wa kuondokewa na mtu awe ndugu,jirani,rafiki au mtu yeyote kwa njia yeyote k.v.ajali,maradhi,n.k mara tu badaa ya kuonana au...
Wanasayansi wanaanza kukubaliana na kitu ambacho viongozi wa kiroho na wanafalsafa wamekuwa wakisema tangu enzi na enzi. Kwamba upo uwezekano kwamba mtu kama mtu siyo nafsi moja. Yaani kuna...
1/Kuchapiwa mke wako!
Hii kitu haina mjanja nawaambieni! Pale mkeo anapokusaliti hukuacha na maumivu makali sana pengine hutayasahau maisha yako hata mkiachana. Hii ni kutokana na jinsi mioyo...
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE).
Kulingana na uchunguzi wa...
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE).
Kulingana na uchunguzi wa...
KIJANA MMOJA AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 30 KWA KUKUTWA NA HATIA YA KULAWITI MTOTO
Masunga Ngele(30) ametiwa hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10 anayesoma darasa la pili...
Leo tarehe 04/10/2018, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, anafanya ziara katika eneo la mradi wa umeme wa Rufiji (2100) ambapo atakagua utekelezaji wa...
abdulnondo1: Yaani nyie Dada zetu baadhi Diaspora jamani Mungu anawaona hivi kweli hujui kuku ? ,au Ulaya hakuna kuku !!! Yaani who is Kuku ? Yaani hajui kuku ila amesikia wameitana Kuku ,alafu...
Leo tarehe 04/10/2018, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, anafanya ziara katika eneo la mradi wa umeme wa Rufiji (2100) ambapo atakagua utekelezaji wa...
kuna shule kadhaa zimetajwa kuhusika na wizi wa mitihani ya darasa la saba. nashukuru kwa hilo kufahamika maana hii tanzania ya sasa tumekuwa na matatizo makubwa sana kiasi kwamba tume enda...
Kwenye vitabu vyote vitakatifu Mwovu Shetani ametajwa kama adui wa hatari ambaye anapaswa kupigwa vita muda wote na kila mtu mwenye kumheshimu Mungu .
Baada ya kupata Msamaha wa Rais kutoka...