Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndio nawaambia wazee/ mzee baba msipende kuwadharau watoto na vijana kuwa hawana uwezo au kipaji Fulani. Hebu tuambiane waliowadharau akina almasi na kundi lake wako wapi wao sasa hivi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wa shule ya kukuza vipaji ya Raregem Iwapo una wasiwasi kuhusu uwezo wa mtoto wako kusoma, na kuandika, na ni wasiwasi ambao umegusiwa na watu walio karibu na mtoto...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
- Najuaje kama mtu nliyemuazima gari alifanya kosa akaandikiwa halafu hajasema -Deni liaongezekaje -Je, anaweza kuandikiwa yeye (leseni) au gari? Msaada plz
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Wale mafundi wenzangu wa umeme Nilifanya hii kazi ya ufundi kwa miaka3 mfulululizo kabla cijaingia kwenye biashara ya samaki ambayo inalipa sana na wengi hawajui. Point ya msingi siku hizi kuna...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kupunguza vituo vya ukaguzi wa magari visivyo na lazima ambavyo vimeonekana kutumiwa vibaya na...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Wakuu habari za jioni Napenda kuuliza hiv kwanini mabasi ya kubeba wanafunz shuleni Yote Huwa yana rangi ya Njano tena hii nmeona mpk nchi za wenzetu
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Shikamooni wakubwa , Waswahili wanasema kuuliza sio ujinga ila lengo ni kutaka kujua. Sisi wengine tumezaliwa miaka ya 1990.hivuo mambo mengi hatuyafahamu vizuri . Nimekuwa nikisikia kwa muda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sijui wewe wautafsirije UTAMBUZI lakini hakuna shaka kuwa ndio kitu kikubwa ambacho kinaifanya dunia kuwa ilivyo, na ni hicho hicho kitakachoifanya dunia kuwa mahala bora zaidi pa kuishi. Hapa...
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Wale wakali waliokuwa wanakimbiza darasani,kuanzia primary, secondary, asaivi wengi wao wameishia pabaya kwa kukosa mwendelezo wa vision zao, mwingine unamkuta asaiv ni bodaboda au shoe shine...
17 Reactions
181 Replies
17K Views
Assalaam Alaykum Nataraji mpo salama wandg Bila kupoteza muda,wacha nifungue mkono wangu na kuruhusu kumwagika kwa wino. Mwanaadam,anadhani kuwa,kuumwa na kansa au Ukimwi,Basi ndio kuangamia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa namfuatilia sana Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika ziara zake kufuatilia utendaji wa watumishi na kuangalia miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali na wadau mbalimbali kiukweli kuna...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za mchana.Nimeona bora tujadili kwa kidogo kuhusu hilo.Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa muda kidogo kama miaka mitatu kuhusu uchumi wetu ambao unategemea wafanyabiashara wa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari ,ninategemea kusafiri kuelekea Nairobi mwishoni mwa mwezi huu, je? Ni Bus gani zuri lenye Ac, viti vyenye nafasi ndani, yaaki kwaufupi luxury Bus, Linalotokea dsm kwenda Nairobi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na...
6 Reactions
62 Replies
9K Views
Kichwa cha habari chahusika, familia yetu tulizaliwa wakaka watatu na wadada wanne, mimi ni wa pili katika wakaka, bahati nzuri katika wakaka wawili tumefanikiwa kimaisha hata huyo watatu hayuko...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
  • Closed
MDAHALO KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII KWA VIJANA TANZANIA Katika mwendelezo wa kuibua mawazo na mijadala katika suala la matumizi ya Mitandao ya Kijamii na Mtandao wa Internet kwa ujumla...
8 Reactions
42 Replies
14K Views
Serikali imesema haina mpango wa kutoa fedha kwa ajili ya kupanua Magereza yaliyopo na badala yake italitumia jeshi la polisi kupunguza uhalifu na kutoa adhabu mbadala kwa watu wanaokutwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Juzi Juzi nilitembelea kijijini kwetu maeneo ya kanda ya ziwa katika harakati za hapa na pale , lkn kwa kuwa nami nimuenyeji Wa maeneo hayo na watu wengi tunafamiana nao ,nikapata Bahati ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wanakimbia huku na huko wasijue la kufanya Inadaiwa kuwa umelipuka kutoka ghorofa ya 3 ya jengo hili huku chanzo chake kikiwa bado hakijajulikana Inaelezwa kuwa huenda kuna baadhi ya Watu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…