Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mwananchi wa Arusha kata ya muriet-intel karibu na idara ya maji , ni mwezi sasa wananchi wa mtaa huu hatuna maji kutoka hapo idara ya maji na hili tatizo limeota mizizi sasa maji hakuna...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Maandalizi ya Mkutano wa 60 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 22 Mei 2026, yameanza rasmi kupitia vikao vya ngazi ya wataalamu...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
“Mimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi langu wapunguze safari za kwenda nje kutangaza, wanatumia hela za serikali...
1 Reactions
1 Replies
100 Views
The game is unfair, but you still have to play. Mfumo wa Maisha hauwezi kuwa sawa kwa 100% - kuna watu wenye connection, pesa, na faida ya mapema. (FAIDA YA MAPEMA) au (head start) ni pale...
9 Reactions
19 Replies
232 Views
Salaam, Shalom!! UTANGULIZI. Ndani ya nyumba zetu, Pana mijusi yenye RANGI nyeupe tofauti na mijusi wa nje. Na KAZI ya mijusi KIMWILI Huwa ni kutafuta na kula WADUDU watambaao na warukao nk nk...
52 Reactions
223 Replies
27K Views
Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?😁
9 Reactions
45 Replies
634 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Wasalaam. Jamii tuzungumze tubadilishane mawazo kidogo. Malalamiko mengi kuhusu watoto kutelekezwa, kwenye upande wa mtelekezaji, mara zote anakuwa baba watoto😭, kwa nini lakini? Napokea mengi...
91 Reactions
957 Replies
24K Views
Siku hizi ukikutana na kijana ana laptop, ring light na simu nzuri usidhani ni IT specialist… mwingine anakesha usiku kucha akihariri video ya sekunde 45 huku background kuna motivational music na...
9 Reactions
21 Replies
497 Views
Licha ya Serikali kutumia zaidi ya Sh50 bilioni kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, bado mabasi hayo yanaendelea kushusha na kupakia abiria nje ya kituo na hivyo kukikosesha mapato...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Wakuu, Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Elon Musk ame attack Christopher Nolan ambague Lupita Nyong'o kama Helen of Troy Lupita Nyongo ------------ The billionaire accused the filmmaker of 'defiling Homer' by choosing a Black...
2 Reactions
0 Replies
119 Views
Video za Pono ziliniharibu sana aisee katika ukuaji wangu Ilipofika utu uzima na nikapataga pesa za fasta ikawa mdada yoyote mwenye makebo makubwa ni halali yangu Ulikuwa nimwendo wa kula jagina...
14 Reactions
45 Replies
1K Views
Anonymous (2ac0)
Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano. Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Habari! Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa...
1 Reactions
41 Replies
594 Views
Shemeji yangu sasa kanogewa kwangu, amemaliza chuo 2020, bado anasema anasikilizia mchongo. Shemeji Anashindia TV, kupiga stori na mdada wa kazi na vijiweni Namuambia ajifunze ufundi anasema...
17 Reactions
101 Replies
2K Views
Katika mazingira ambayo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kutafuta ajira baada ya kuhitimu vyuo vikuu, mjadala kuhusu elimu ya ufundi na elimu ya juu ni muhimu. Lakini kilichofanywa na...
2 Reactions
6 Replies
263 Views
Changamoto za kimaisha, kama magonjwa, Migogoro, kupoteza kazi, biashara kuyumba, usidhani vinatakiwa kuwatokea watu flani pekee, au ukafurahia sababu huwapendi au una tofauti nao It can happen...
3 Reactions
2 Replies
66 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…