Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata taarifa kuwa ommy255 hapatikani toka Ijumaa usiku. Mtoa taarifa anasema haonekani nyumbani, kwa marafiki wa karibu, kwa majirani, simu haipo hewani. Kwamba kwa mara ya mwisho alipost...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Samahani kama nitakuwa nimekosea ila nahoji kama kisomo cha albadir kinaweza tenguliwa..yaani yale manuizi kuyaondoa.. Nasema hivi sababu nahisi kinachoendelea chadema si kitu cha kawaida na...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Heading Yangu imeweka angalizo ili kuepuka kuharibu biashara za watu. Lengo la mada hii nataka sote wacheza kamari tuijadili Hii kampuni ya TatuMzuka. Wanadai kuwa kila ushindi wa Jackpot...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Una kuta mdada mzuri kwa sura lakini kila kukicha yeye ni kulia lia na kulalamika mitandaoni kuwa almasi hajawahi kumsaidia pamoja na kumuomba msaada. Najiuliza mdada kama huyu kabarikiwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Nchi hii sasa tumefikia kiwango cha JUU kabisa cha UBAGUZI, ndani ya Chato hakuna anayesumbuliwa na unaweza kubeba kiasi chochote cha samaki unaowataka....lakini ukitoka hiyo himaya ya Jiwe...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba msaada wa kupata mawasiliano na mhariri wa gazeti la uhuru lengo ni kuwasiliana naye kupata nafasi ha kuandika makala zangu katika gazeti hilo. Tafadhali mwenye mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kutoa angalizo, kuna aina mpya ya utapeli imeanza kushika kasi kwa sasa. Kwamba unaunganishwa kwenye group la Whatsapp na matapeli. Ukishindwa kujitoa Mapema, utaanza ku-share taarifa zako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chiefs Assalaam Alaykum Bila kupoteza muda,naomba niingie moja kwa moja katika mada,iliyo chukua sura timilifu Ustaarabu,ni mtu kuwa mwenye maendeleo chanya huku akipambwa na mila,tamaduni sahihi...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Mwanaharakati wa Masuala ya Uhifadhi wa Mazingira na Rasilimali za Maliasili, Juma Mbao Amefanya tafiti kwa namna gani ukuaji wa Miji kama Dar es Salaam Unaathiri Uhifadhi na Malisho ya Ndege na...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Habari wote najaribu kufikiri kuwa Dar na Pwani zikiungana na kua Moja kwa jina la Dar es salaam itakua vizuri sana kulipanga na kuliendeleza vizuri kama Majiji mengine makubwa
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanabodi, Napenda kujua hivi inapotokea kiongozi mwenye nyazifa kubwa kwenye taasisi nyeti kama vile tiss,wizara ya mambo ya ndani,jeshini nk. anapokuwa amefukuzwa kazi kutokana na sababu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapiga punye tujitahidi wakuu wa dunia watupatie na sisi siku ya kuadhimisha punye ( pul). Mnapendekeze siku yetu iangukie lini? Na hii siku lazima iendane ni siku ambayo mtu binafsi unayopenda...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Mzuqa Hizi njozi za ushindi za kuwa tajiri sasa hivi zinanijia kwa full force. Nimechoka kufanya manual jobs kutumikia mabepari na kuinhale makemikali. Now i just want to be rich kukamata hela...
11 Reactions
73 Replies
7K Views
Hili swali huwa najiuliza huwa wanadai losheni za kung'arisha na kuchubua ngozi au mkorogo vi ambata sumu na vina madhara sasa kwani hakuna losheni kama hizo zisizo na madhara???? HICHI KITU HUWA...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mji wa mirerani ni miongoni mwa Mji unao weka idadi kubwa ya watu kwa Wilaya ya Simanjiro.. Milya kaamua kuacha ubunge ili aje auombe tena kupitia ccm Ila hapo hapo Mirerani kunatatizo kubwa LA...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Kwa anayejua suluhu ya bundi. Mtaani kwetu kuna ghorofa moja ilikuwa haina mtu wakaweka makazi Bundi. Huwa wanalia shwiiiiii shwiiii kuanzia jioni hadi alfajiri. Mpangaji aliyeamia hapo nae...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari wanajamii forum Nilikuwa nataka Mshana JR na wenzake wanielezee inakuwaje mganga wa kienyeji aweae kujua matatizo ya kila mtu anayekwenda kwake,mechanism hii inafanyaje kazi maana...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Mamlaka ya mawasiliano Tz,imesema kuwa kuanzia jumanne ijayo zile chaneli za nyumbani(local channels)zitaanza kupatikana bure kabisa kupitia ving'amuzi vya startimes,ting,digetek na continental...
10 Reactions
203 Replies
28K Views
Ni miaka sasa barabara sehemu hii hufungwa kwa gari za upande mmoja na kuruhusu barabara yote itumike kwa gari za uelekeo mmoja, sijui ni nani mwenye kufuatilia au kuondoa shida hii! Nielewavyo...
2 Reactions
2 Replies
995 Views
Hivyo vitambulisho vimeokotwa tabata stand ya dala dala atakaye mfahamu huyu mama tafadhali na saidien kushare pia kwenye pages nyingine Wasiliana na 0765012666 lakini nikahisi ni dada yake...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…