Sijui wakazi wa Mireran mnalionaje hili

TOHATO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,170
3,775
Mji wa mirerani ni miongoni mwa Mji unao weka idadi kubwa ya watu kwa Wilaya ya Simanjiro..
Milya kaamua kuacha ubunge ili aje auombe tena kupitia ccm Ila hapo hapo Mirerani kunatatizo kubwa LA Maji safi ya Kunywa .. Hivi huyu mbunge anae jiuzulu ili zitumike hela tena za uchaguzi ambazo zingetoshea kabisa Upatikanahi wa maji kutoka Siha Kilimanjaro had I hapo Mirerani mtamchukuliaje?? Sitaki kuongelea tabu za watu wanazozipata kupitia Ukuta ila hili moja LA maji ni muhimu zaidi
 
Kanunuliwa kama mzigo wa viazi
 
Back
Top Bottom