1960 lkn bado yuko fuleshi.Kizazi cha kina wema sembenga mtoto 1 kazeekaHivyo vitambulisho vimeokotwa tabata stand ya dala dala atakaye mfahamu huyu mama tafadhali na saidien kushare pia kwenye pages nyingine
Wasiliana na 0765012666
lakini nikahisi ni dada yake Mshana Jr msaidieView attachment 888964View attachment 888965View attachment 888966View attachment 888967View attachment 888968
Dada yake au mama yake?Hivyo vitambulisho vimeokotwa tabata stand ya dala dala atakaye mfahamu huyu mama tafadhali na saidien kushare pia kwenye pages nyingine
Wasiliana na 0765012666
lakini nikahisi ni dada yake Mshana Jr msaidieView attachment 888964View attachment 888965View attachment 888966View attachment 888967View attachment 888968
Watu mnajikuta mnajua kuhide identity wakati mpo uchi tuHide baadhi ya sensitive information,hiyo umoja card tunaweza extract tukatumia kwenye carding mzee.
Hivo vingine pia vina matumizi mengi tu.Jitahidi kuedit post hide pictures na member id na id numbers,acha jina tu.
Humu ndio tupo uchi,lakini haimaanishi uexpose personal details za mtu either wa ndani ya JF or nje ya JF tujifunze kuwa na utu,leo na kesho kutwa akipatwa tatizo kwa sababu tu ya information zake kuwa wazi mitandaoni mtaanza kumtukana na kusema mzembe....Watu mnajikuta mnajua kuhide identity wakati mpo uchi tu
Kwenye hiyo bodi iliyomsajili wanaweza kujua anafanya taasisi ganiKumbe ni nesi ase duuuh mtafuten mahospitalin
Asante nimepata msg nyingi kupitia WhatsApp lakini simfahamu japo anaweza kuwa ndugu yanguHivyo vitambulisho vimeokotwa tabata stand ya dala dala atakaye mfahamu huyu mama tafadhali na saidien kushare pia kwenye pages nyingine
Wasiliana na 0765012666
lakini nikahisi ni dada yake Mshana Jr msaidieView attachment 888964View attachment 888965View attachment 888966View attachment 888967View attachment 888968
Kama hujui mjulishe mwenyekiti wa ukoo wa mshana chaapNshafika asante
Dah...isije kuwa mke mkubwa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]Ngoja aje kalumanzila hapa mbn huyu wifi simfahamu
Koma [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Dah...isije kuwa mke mkubwa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]
[emoji23]Ngoja aje kalumanzila hapa mbn huyu wifi simfahamu