TAHADHARI:AINA MPYA YA UTAPELI

TAHADHARI:AINA MPYA YA UTAPELI

M2WAWA2

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
3,284
Reaction score
5,632
Naomba kutoa angalizo, kuna aina mpya ya utapeli imeanza kushika kasi kwa sasa. Kwamba unaunganishwa kwenye group la Whatsapp na matapeli.
Ukishindwa kujitoa Mapema, utaanza ku-share taarifa zako na matapeli na kisha wao kuja kutumia taarifa zako kukuibia banki, sim swap, na majumbani.

Picha ifuatayo ni mfano wa kundi la kitapeli, kulia namba ya Admin wa group na wanachama walionganishwa bila hiari yao, kushoto watu wakijiondoa kwenye kundi na wengine wakiuliza sababu za wao kuwepo kwenye kundi.
1538939847467.png
 
Utasheaje taarifa zako za siri wanakupa nini mpaka utoe taarifa zako? Toa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom