Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilivyonunua sasa vipo chini na Kila weekend ntajifunza. Futi, Angle grinder, welding machine 300, msasa wa umeme aka orbital sander, jigsaw na driler zote za ingco. Je nimekamiika au...
3 Reactions
13 Replies
196 Views
Mbunge wa jimbo la Uyole mkoa wa Mbeya nchini Tanzania ambaye pia ni Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Ackson Mwansasu amependekeza kwamba umri wa binti kuolewa uwe ni kuanzia...
7 Reactions
131 Replies
2K Views
Ikumbukwe Kuwa Mheshimwa Raisi alitoa muda wa mwaka Mzima kwa wananchi waliokosea taarifa zao NIDA zirekebishwe. Lakini cha ajabu NIDA Amekaidi kurekebisha mwaka wa kuzaliwa tuu wanaweka...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Habari za wakati huu wana-jukwaa wenzangu, Maisha ya sasa yamekuwa na kasi sana. Kila mmoja wetu anapambana na majukumu, foleni, kazi, na changamoto mbalimbali za kimaisha. Katika mihangaiko hii...
5 Reactions
64 Replies
782 Views
Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Nataka kuweka geti la kuslide(kusukuma). Geti limekamilika kutengenezwa. Bado kuliseti kwenye reli yake tu. Mafundi wanabishana mwingine anasema tuweke nondo ya mm 10 kwenye reli. Mwenzake...
2 Reactions
3 Replies
92 Views
Unaweza kukutana na mtu mkasalimiana, mkapiga story dakika 20, mkacheka kabisa… lakini hakuna anayesema jina lake. Mpaka mnaombana namba ndipo mchezo unaanza: “Ni-save nani?” Kuna ile culture ya...
6 Reactions
13 Replies
282 Views
Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo...
2 Reactions
33 Replies
565 Views
Wakuu heri ya wekeend, Ebu angalia hilo tatizo la kuagiza kila kitu , unakuta mtu yuko very proud akiigizia hayo magari .. Jamani hata mfikiria huku pesa zinaenda nje kwa kila kitu .
1 Reactions
16 Replies
200 Views
Mimi hapa muuza viatu nilikua mbishi kwa kuukataa ukwel mchungu kuwa nimefilisika hatimaye nimekubali kuwa nimefirisika biashara zangu zote zimekufa. Mwaka 2022 soko liliungua kinomanoma na mimi...
24 Reactions
63 Replies
995 Views
Ni nani huyu mgeni ambae atapokelewa kesho? Je ni Ayoub Rioba?
4 Reactions
14 Replies
398 Views
Tafakuri ❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni? Na...
5 Reactions
31 Replies
396 Views
Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi.. ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa...
7 Reactions
20 Replies
449 Views
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Klabu ya Manchester United pamoja na timu ya Taifa ya England, Rio Ferdinand, ameweka wazi kuwa atatembelea Tanzania Mei 19 hadi 22, 2026 kufuatia mwaliko maalum...
6 Reactions
10 Replies
371 Views
Anonymous
Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Uislamu ni dini inayomlea mwanadamu kuwa na tabia njema, huruma, uadilifu na heshima kwa watu wote. Katika mafundisho ya Kiislamu, ibada hazihusiani tu na kuswali au kufunga, bali pia zinahusisha...
2 Reactions
7 Replies
226 Views
Bar, pub, hadi vioski vya pombe za kupima zilifungwa bangi na mirungi viliadimika sana maduka na vibanda vya sigara vilifungwa Ofisi za betting pamoja na internet ilizimwa
1 Reactions
4 Replies
138 Views
Bwire atangaza vita mpya dhidi ya upotevu wa maji Dar na Pwani DAWASA yalenga kushusha upotevu wa maji hadi asilimia 20 DAWASA yaomba ‘tafu’ kwa Wananchi kubaini upotevu wa maji Mamlaka ya...
0 Reactions
6 Replies
114 Views
Saivi tumeshaendelea sana ki teknolojia, saa zinaenda sambamba kila mahali, hatutegemei kusikia jogoo amewika au kuangalia kivuli ili tujue muda. Lakini kila tukio, iwe kikao, vipindi vya redio...
1 Reactions
4 Replies
140 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…