Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mzigo bahasha nataka kutuma kwenda Korea ya Kusini. Kama kuna mtu ana mpango wa kusafiri kabla ya tarehe 17/10/2018. Naomba msaada, tuwasiliane. Natanguliza shukurani zangu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Marwa Itembe (28), mkazi wa kijiji cha Mbalimbali wilayani Serengeti Mkoa wa Mara amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu ya uhujumu uchumi. Mbele ya Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimefuatilia uteuzi wa mawaziri wapya,lakini pia nimefuatilia mawaizri wa mh Jk ambao amekuwa anawateua kushika wizara mbali mbali tangu awe rais wa inchi hii.Je mh mwanri ana tatizo gani na mh jk...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wanajf, hivi sasa baada ya wimbi la wale matapeli wa mitandoni wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" kuenea na hatimae watu kuerevuka na kuwapuuza, ni kwamba kuna utapeli mwingine umeibuka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanaume wakamatwa wakinunua Makahaba JUMANNE , 9TH OCT , 2018 NA ELBOGAST MYALUKO Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia wanaume watano, kwa kosa la kujihusisha na kununua wanawake...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hakika hospital ya wilaya ya kahama kuna rushwa na uzembe wa hali ya juu mgonjwa anaweza kukufia ilihali watumishi wakitazama,wanakejeli na maneno ya dharau mbali na hilo mbaya zaidi kuna wizi wa...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameonyesha masikitiko yake kwa namna mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) namna unavyoendeshwa na kuwataka watendaji wote kukutana naye Kimara...
6 Reactions
109 Replies
13K Views
Sehemu ya Kwanza Na Muhammad bin Yusuf [Chapa ya mara ya kwanza - Mwezi wa Ramadhan, 1415 Hijria -1995] Swahili ni Taifa la makabila yaliopo katika Pwani ya Afrika ya Mashariki na visiwa vyake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mm huwa napeleka gari yangu aina ya CRV New Model car wash ya mtaani kijana anaiosha ! Na wengineo. Muda wote huwa safiiii mle ndani. Nani huiosha mle ndani na wakati gani ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkazi mmoja aliyejulikana kwa jina la Said Lwagaba(72) mkazi wa kijiji Kagunga Kata ya Kasekese Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi amekutwa ameuawawa na watu wasiojulikana.
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Habari Zenu, Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga.. Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Waungwana ... nakuja na hoja hii .. Hivi ni kwa nini watanzania tumezoea kukubali kila kitu kinachoamuliwa na walioko juu? Nitoe mfano ukilipia umeme wa luku wa elfu kumi unapewa mahesabu ya...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Wazima nilivunjika Mkono Wa kulia mifupa yote mwezi Wa 8 trh 17 nikaenda hospital kupigwa x ray na kufungwa pop nikapewa siku 45 ndo nirudi lakin hadi siku ya 9 Mkono bado unauma sana nikashauriwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Siyo siri kuwa barabara ziingiazo mjini Mbeya zina viwango vya chini sana. Barabara hizi zilisanifiwa na kujengwa miaka ya 1970's. Hivyo barabara zote ziko chini ya viwango kwa magari ya miaka...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndoto za aina hii za mara kwa mara, zina maanisha nini? Tusaidieni Mamajusi wa JF.
0 Reactions
11 Replies
17K Views
Naitwa Fatna kwa sasa nipo Tanga, mama yangu anaitwa Mariam Mgaya. Kwa Maelezo niliyopewa na mama kuhusu baba yangu haya "Baba yangu alikuwa anajulikana kwa majina KUTARASA MBARALI au SAIDI...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwaninin Tanzania tuko hivi? Nina mifano ya nchi jirani ambazo democrasia inafuatwa lakini kwa Tz hapana 1. Malawi nchi jirani na ndogo tu lkn democrasia iko juu 2. Zambia mbali na matatizo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
DOUBLE STEAMCELL NA CRYSTAL CELL Products hiyo ni double steamcell na crystalcell Zipo na products zingine ILA hizi ndo products mama PSYTOSCIENCE ni kampuni ambayo imejikikita kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
#FAHAMU Mnamo mwaka 2014 Mahakama ya South Carolina nchini Marekani ilitengua hukumu ya iliyotolewa na mahakama hiyo ya kumnyonga hadi kufa mtoto George Stinney Jr, ikiwa miaka 70 imeshapita tangu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi tumekuwa tukilazimisha na kukomaa na mambo tusiyoyaweza ama tusiyoyajua. Kila mtu ana uwezo wa kufanya jambo fulani ( hata kama hulipendi ). Unaweza ukawa unapenda kitu ambacho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…