nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,609
- 4,096
Kwaninin Tanzania tuko hivi?
Nina mifano ya nchi jirani ambazo democrasia inafuatwa lakini kwa Tz hapana
1. Malawi nchi jirani na ndogo tu lkn democrasia iko juu
2. Zambia mbali na matatizo waliyonayo lakini huwezi kuwapangia kiongozi gani awaongoze au kuwatawala kama ilivyo kwetu hapa.
3. Kenya nao wanakuja juu kidemocrasia
Sasa angalia hapa kwetu leo nataka ku justify kuwa kwanini hakuna umuhimu wa wewe kwenda kupiga kura
1. Rejea chaguzi za marudio, dhahiri shahiri unjua ccm lazima itangazwe mshindi then ulivyo boya unaacha shughuli zako unaenda kupoteza muda kwenye folen wakati mshindi anajulikana.
2. Unajua mkurugenzi wa halmashauri ndiye msimamizi wa uchaguzi aliyeteuliwa na raisi wa ccm unategemea atamtangaza mgombea mwingine ushindi?
3. Unajua police wapo kwaajili ya chama tawala then unaenda kupiga kura kuipinga serikali watakubali 'unapoteza muda'.
4. Unajua kuwa tume ni ya wana ccm unaenda kupiga kura unategemea nini?
5. Ni upuuzi ulikithiri kuwa wakala wako ambaye hana hata ulinzi wa mgambo atakulindia kura ndani ya chumba kilichojaa askari wenye siraha.
Solution
1. Nawasihi muache na ninyi kupiga kura maana ni upuuzi mnapoteza muda bure
2. Napenda haki itendeke msipoonekana kwenye vituo vya kupigia kura watabadilika wataleta tume huru '' unaenda kufanya nini wakati mshindi anajulikana?''
Mengine ongezea mm naishia hapo
Sio uchochezi bali ni maoni tu maana sioni faida ya kuacha kufanya shughuli zangu za muhimu niende kwenye foleni ambayo najua mshindi ni nani.
Bora wakati wa chama kimoja unapigia jiwe au mtu