Njia mbadala ya kuzindika biashara

Njia mbadala ya kuzindika biashara

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4,777
Reaction score
10,816
Habari Zenu,

Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..

Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu.

Tutaweka maji ya baraka jumapili, kwasababu mm ni mkristo, je ukiacha hiyo njia nn kingne kinatakiwa kifanyike? cha asili.

Natanguliza shukran
 
YESU ANATOSHA

namkataa shetani na mambo yake yote, yaani yule ambaye anatengenisha, ndipo ninao uwezo wa kusema “ndiyo” kwa Mungu anayeniita ili kufanana Naye kwa mawazo na matendo. Shetani anagawanya lakini Mungu naunganisha daima jumuiya na watu ili waweze kuwa wamoja. Huwezi kumpokea Kristo wakati unamwekea masharti anasisitiza Baba Mtakatifu. Inahitaji kuondokana na kila aina ya mahusiano mabaya, ili uweze kukumbatia wengine kwa dhati; Na uchaguzi huo lazima kuufanya kwa dhati ambapo au uchague kuishi na Mungu vizuri au unaishi vizuri na shateni. Kwa kuthibitisha hilo, tendo la kukataa shetani na tendo la kukiri imani vinakwenda sambamba. Ni lazima kubomoa madaraja ambayo siyo ya kweli na kuyaacha nyuma ya mabega ili kuanza njia mpya ambayo ni Kristo.
 
Kwanza sali kwa imani unayoiamini, pili toa sadaka i.e. kikumi tatu dili na hao wafanyakazi wa kwenye biashara yako nne lete mrejesho
 
biashara ya bar inafunction imani?
 
Jambazi mwenyewe akienda kuiba anamuomba Mungu amsaidie asikamatwe biashara ya bar kitu gani? Biashara yoyote ile ni imani
kwa hiyo mungu huwa anamrahisishia mazingira jambazi anaesali ili asikamatwe?
 
Habari Zenu,

Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..

Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu.

Tutaweka maji ya baraka jumapili, kwasababu mm ni mkristo, je ukiacha hiyo njia nn kingne kinatakiwa kifanyike? cha asili.

Natanguliza shukran
Tumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuizia
 
Habari Zenu,

Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..

Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu.

Tutaweka maji ya baraka jumapili, kwasababu mm ni mkristo, je ukiacha hiyo njia nn kingne kinatakiwa kifanyike? cha asili.

Natanguliza shukran
Unasema wewe ni MKRISTO,then naona wazi umefanya uchawi mara mbili (maana umetumia huyo anaitwa kitimoto+mkaa,then maji ya baraka),
NASEMA WAZI KITU KINAITWA MAJU YA BARAKA NI UCHAWI NA NI BIASHARA YA HAO WACHAWI YAANI WANAOYAUZA AU KUKUPA,
Kuna njia MOJA TU ya asili,YAANI KUMTEGEMEA MUNGU TU WALA SI AKILI ZA MEMBER WA JF;
mithali 3:5
 
Tatizo mmekariri haya Maji unayouziwa kwa chupa shilingi Lakimoja mwingine Milioni mwingine elfu moja yaani eti utabarikiwa kutokana na Maji umenunua ya Sh ngapi?

Kwetu wakatoliki hizo hakuna Maji unapewa bure na ukiyatumia vizuri kwa imani hakika utaona matokeo.

Ila sio haya Maji ya manabii
 
kwa kuwa umesema 'Katoliki' ngoja niwe kimya lakini ukweli hili kinachoitwa maji ya baraka si kweli ni jina tu maana kama kweli ni maji ya baraka basi hakika HAYA matatizo yasingekupata baada ya kuweka maji maana MUNGU hashindwi;
Tatizo mmekariri haya Maji unayouziwa kwa chupa shilingi Lakimoja mwingine Milioni mwingine elfu moja yaani eti utabarikiwa kutokana na Maji umenunua ya Sh ngapi?

Kwetu wakatoliki hizo hakuna Maji unapewa bure na ukiyatumia vizuri kwa imani hakika utaona matokeo.

Ila sio haya Maji ya manabii
 
Habari Zenu,

Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..

Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu.

Tutaweka maji ya baraka jumapili, kwasababu mm ni mkristo, je ukiacha hiyo njia nn kingne kinatakiwa kifanyike? cha asili.

Natanguliza shukran
Umesema bar, hujui walevi wanahitaji nini? Mweke Hamisa Mobetto hapo mji wote watahamia hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom