Kuvunjika mifupa yote ya mkono

Kuvunjika mifupa yote ya mkono

Newera

Senior Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
132
Reaction score
202
Wazima nilivunjika Mkono Wa kulia mifupa yote mwezi Wa 8 trh 17 nikaenda hospital kupigwa x ray na kufungwa pop nikapewa siku 45 ndo nirudi lakin hadi siku ya 9 Mkono bado unauma sana nikashauriwa na baba mdogo ambae niende kwenye Tiba asili za mifupa nmefika kufunguliwa Mkono ulikuwa umewekwa vibaya kwenye pop na kuna sehemu zina vidonda, nikaanza Tiba upya bila ganzi kwa kufungwa vimbao baada ya wiki 4 mifupa ikawa ishaunga ikafunguliwa kabisa saiv natembea bila kamba na kazi zangu nishaanza ndogo ndogo na wiki ijayo natarajia kurudi kazi ni
Lengo LA kushare hii kitu ni kwamba hospital ni muhimu sana ila local doctors wanasaidia kuricover haraka
 
Tunashukuru sana kwa kushare nasi, Naamin lengo la kushare nasi ndo hilo uliloandika tuu
 
Hospitali wanalipua huduma, sijui ni kwa nini? Ni kawaida sana kufungwa hogo ilhali una uvimbe, au hawakuunganisha viungo kama inavyotakiwa, matokeo yake ni maumivu na gharama mara mbili mbili za kurekebisha madudu yao.
Wazima nilivunjika Mkono Wa kulia mifupa yote mwezi Wa 8 trh 17 nikaenda hospital kupigwa x ray na kufungwa pop nikapewa siku 45 ndo nirudi lakin hadi siku ya 9 Mkono bado unauma sana nikashauriwa na baba mdogo ambae niende kwenye Tiba asili za mifupa nmefika kufunguliwa Mkono ulikuwa umewekwa vibaya kwenye pop na kuna sehemu zina vidonda, nikaanza Tiba upya bila ganzi kwa kufungwa vimbao baada ya wiki 4 mifupa ikawa ishaunga ikafunguliwa kabisa saiv natembea bila kamba na kazi zangu nishaanza ndogo ndogo na wiki ijayo natarajia kurudi kazi ni
Lengo LA kushare hii kitu ni kwamba hospital ni muhimu sana ila local doctors wanasaidia kuricover haraka
 
Ndo ivyo mkuu ndo maana tunashare haya mambo pia unaweza kuta unakaa muda mrefu sana kupata nafuu coz siku 45 kama kuna tatizo ni ishu ila local Dokta kila baada ya siku chache wanakuchek inategemea na maendeleo ya jereha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom