Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Waungwana ... nakuja na hoja hii ..
Hivi ni kwa nini watanzania tumezoea kukubali kila kitu kinachoamuliwa na walioko juu?
Nitoe mfano ukilipia umeme wa luku wa elfu kumi unapewa mahesabu ya makato kama ifuatavyo:-
Vat 18% 1,475.39
Eura 1% 81.97
Rea 3% 245.90
Gharama za muamala 1,803.27
Jumla ya makato 3,606.53
Umeme ninaouziwa 6,393.47
Jumla ya malipo 10,000.00
Maswali ya kujiuliza?
Nani alishirikishwa kuchangia Rea na Eura? Vat sio tabu hiyo ni kodi.
Hii kampuni inayotoa huduma mbona ina makato makubwa yanazidi haya kodi kwa serikali
Kwa uhalisia nikitoa laki moja nanunua umeme wa Tshs. 63,934.70. Hivi serikali inayajua haya na inanyamaza kimya; urafiki wa serikali na wananchi wake uko wapi? Huu ni mfano tu; zipo huduma nyingi ambazo makato yake ni makubwa lakini watu hawahoji kulikoni. Ni hayo tu naendelea kupumzika kitandani.