Mkurugenzi mtendaji wa halm ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Kambona amevunja ukimya na kuwataka wazazi kutoozesha watoto waliohitimu elimu ya msingi kwa kuwa bado wanaendelea na masomo.
Kambona...
Nimepakua App ya kuangalia Tv's kwenye simu.
Ila inakula sana MB's.
Sasa wapendwa nisaidieni njia mbadala, mfano kama kuna kifurushi maalumu kwa ajili ya kuangalia Tv tu kwenye simu!
Au njia...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemjibu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amedai anaona kama nchi ina hofu na chuki...
Wana JF, vyombo vya habari vya nje vimejaa habari kwamba Raisi wa Tanzania John Magufuli amepiga marufuku uvaaji mini -skirtna nguo fupi. Nchini South Afrika, Uganda, Malawi nk. ni habari...
Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkablili mfanyabiashara maarufu wa kanda ya Ziwa Peter Zakaria itasikilizwa tena Agosti 10 mwaka huu kwa pamoja na kesi ya kujaribu kuua.
Kesi ya uhujumu uchumi...
Maisha yamekaza sana.
Siku hizi unaona mtumishi anaingia ofisini asubuhi akiwa amebebelea kachupa kake ka chai au hotpot la chakula kwa ajili ya lunch ili kuokoa gharama za kunywa chai na kula...
Huu mchezo wa watu kutekwa tekwa sasa imekuwa too much. Yani hatumalizi miez mitano bila mtu kutekwa. Mbona awamu zilizopita watu walikuwa hawatekwi hivi?
Kwanza Mtu anatekwaje kwenye jiji kubwa...
Moja ya mafanikio makubwa yanayotajwa kufanyika katika Serikali ya Awamu ya 5, ni kuongezeka kwa nidhamu na uwajibikaji kunako ofisi za umma. Inaelezwa kuwa watoa huduma na waajiriwa wa sekta hiyo...
Mi navyojua soldiers primary goal yao ni ulinzi wa mipaka au watu na mali zao. Kwa mana nyingine sisi wananchi ndio mabosi wao tunalindwa usiku na mchana.
Lakini askari kinyume chake ndo mabosi...
Kiukweli Mimi hadi Leo nashindwa uwa naenda duka la mbali sana tena kwenye famasi,.
Ikitokea nikakuta watu siwezi kufunguka lazima nizuge....uwa nashangaa sana kwann nakosa ujasiri wa jambo dogo...
Are the rich going to feel safe anymore?
Are we about to witness a large-scale capital flight away from our country?
Are the rich going to find foreign protection such as acquiring powerful...
Heshima ya saluti ambayo askari wamekuwa wakiwapigia viongozi au wakuu wao kama ishara ya utii na heshima, imemponza ofisa wa Magereza mkoani Mbeya.
Tukio hilo lilitokea juzi wakati Waziri wa...
You have nothing to tell us,,,,,,,mlitumia mianya ya udhaifu wa vizazi vilivyopita mkajipatia utajiri wa kishenzi dhuluma uuaji wa tembo na rushwa
kuanzia sasa hivi learn how to shut that small...
Mimi Ni Mmojawapo Wa Watu Wachache Tuliokosa Mapenzi na Kituo cha Runinga cha TBC. Lakini leo kwa Mara Ya Kwanza Tangu Mwaka uanze Nimeketi Chini Kwa Zaidi ya Dkk 30 Nikitazama Kipindi Cha Kuhama...
Nimeshuhudia wasicha warembo wamependeza wakiuza karanga njia kuu kuanzia Bahi mpaka Shelui.mpaka usiku wanakuwepo.je wenyeji wa huko dada zenu wanauza karanga au wanauza.......
Majambazi wamekodi Gari maeneo ya ubungo liwapeleke morogoro,njiani waanza kumchoma visu ili waibe gari,bahati kwa nyuma likatokea Gari kutoa msaada majambazi wakakimbia ila dereva amefarik
(Pcha...
Katika viumbe ambao wapo hai
kiumbe mwenye uwezo wa kwenda kasi zaidi ni Ndege ambaye anajulikana kwa jina la Falcon(Kumbuka huyu ni tofauti na tai kuna aina nyingi kidogo za mwewe)
Ana uwezo...