Kwa Hili TBC Nawapa Kongole

ngumbuke

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
458
460
Mimi Ni Mmojawapo Wa Watu Wachache Tuliokosa Mapenzi na Kituo cha Runinga cha TBC. Lakini leo kwa Mara Ya Kwanza Tangu Mwaka uanze Nimeketi Chini Kwa Zaidi ya Dkk 30 Nikitazama Kipindi Cha Kuhama Kwa Nyumbu kutoka Mbuga ya Masai-Mara kurejea Serengeti.

Hiki ni Moja Ya Vipindi Vinavyopaswa kurushwa na Kuwekwa Maktaba Miaka Yote. Kongole Kwake Aliyeandaa Kipindi Hiki
Hakika TBC leo Mmeonesha NamnaVituo Vya Runinga Vya Taifa Vinatakiwa Kuwa.

Angalau mmejaribu kukaribia Kufikia NAtGeo wanaotuonesha yanayotukia Huko Mbuga Ya Krueger -Afrika Ya Kusini.
Endeleeni Kurusha Mubashara Vipindi Kama Hivi Vya Kuitangaza Tanzania na Kupunguza Vipindi Mubashara Vilivyokaa Kisiasa Zaidi.

Kongole TBC.....
 
Mimi Ni Mmojawapo Wa Watu Wachache Tuliokosa Mapenzi na Kituo cha Runinga cha TBC. Lakini leo kwa Mara Ya Kwanza Tangu Mwaka uanze Nimeketi Chini Kwa Zaidi ya Dkk 30 Nikitazama Kipindi Cha Kuhama Kwa Nyumbu kutoka Mbuga ya Masai-Mara kurejea Serengeti. Hiki ni Moja Ya Vipindi Vinavyopaswa kurushwa na Kuwekwa Maktaba Miaka Yote. Kongole Kwake Aliyeandaa Kipindi Hiki
Hakika TBC leo Mmeonesha NamnaVituo Vya Runinga Vya Taifa Vinatakiwa Kuwa.
Angalau mmejaribu kukaribia Kufikia NAtGeo wanaotuonesha yanayotukia Huko Mbuga Ya Krueger -Afrika Ya Kusini.
Endeleeni Kurusha Mubashara Vipindi Kama Hivi Vya Kuitangaza Tanzania na Kupunguza Vipindi Mubashara Vilivyokaa Kisiasa Zaidi.
Kongole TBC.....
nitajaribu kicheki lakini jana nimecheki azam 2 nikasema majamaa wako serious nao wanafanya documentary za makabila nikapenda pamoja na quality yao
 
Kwani ' tafakuri baada ya habari' ukipendi
Wakati Nakua Kulikuwa Na Mazungumzo Baada Ya Habari kule RTD.....sijui kama kipo.
Hiki cha Tafakuri sikijui..... kwa vile umenishirikisha nitalazimika kufuatilia.
 
dah nimeshangaa nacheka kwa hiyo mkuu hata kwa jirani,madiwani mbona mnapiga mpunga wa kutosha.

madogo niliowacha preform 1 wako chuo
Yaaani kiukweli, sijakaa na TV ni miaka mingi sana, naishia tuu humu humu, naamni habari nyingi za kule zimepikwa saaana ila humu natoa kama ilivyo bado ya moto,

Halafu madiwani hatuna hizo hela, mzee tumechoka tuu
 
Mimi Ni Mmojawapo Wa Watu Wachache Tuliokosa Mapenzi na Kituo cha Runinga cha TBC. Lakini leo kwa Mara Ya Kwanza Tangu Mwaka uanze Nimeketi Chini Kwa Zaidi ya Dkk 30 Nikitazama Kipindi Cha Kuhama Kwa Nyumbu kutoka Mbuga ya Masai-Mara kurejea Serengeti.

Hiki ni Moja Ya Vipindi Vinavyopaswa kurushwa na Kuwekwa Maktaba Miaka Yote. Kongole Kwake Aliyeandaa Kipindi Hiki
Hakika TBC leo Mmeonesha NamnaVituo Vya Runinga Vya Taifa Vinatakiwa Kuwa.

Angalau mmejaribu kukaribia Kufikia NAtGeo wanaotuonesha yanayotukia Huko Mbuga Ya Krueger -Afrika Ya Kusini.
Endeleeni Kurusha Mubashara Vipindi Kama Hivi Vya Kuitangaza Tanzania na Kupunguza Vipindi Mubashara Vilivyokaa Kisiasa Zaidi.

Kongole TBC.....

Huyo mbuifu apewe tuzo
 
Back
Top Bottom