Nimewaza kama MO angekuwa na Signal 'tin chip' ambayo ingekuwa installed Mwilini mwake kama tuonavyo katika movies pengine ingesaidia sana kuelewa the real location alipo kwa sasa.
Na kama...
Sera ya Gawio ni walau 50% ya net profit, kwa net profit ulioishia 31 Machi 2018 kila hisa ilistahili gawio la wala 38TZS, inakuwaje kampuni inatoa gawio la 17.33TZS?
Hali hii inadumaza...
Kuwataka madereva wakasome yaweza kutokuwasuluhu ya kutokomeza ajali za barabarani, hawa ni madereva waliokwenda chuo, ile Nissan mbele ni gari ya serikali, na huyu wa nyuma ni dereva wa bus...
Kwa mujibu wa mtandao wa Pivibe, mwanasayansi aliyetengeneza virusi vya UKIMWI, Dkt. Robert Gallo alinukuliwa akisema “Tulilazimishwa kutengenezwa Virusi vya UKIMWI kama silaha ya siri ili...
Baadhi ya wanariadha wakishiriki katika mbio za kumi za Rotary Dar Marathon 2018 ambazo hufanyika kila mwaka jijini Dar es salaam. Zaidi ya watu 15,000 walijitokeza jana jijini Dar es Salaam...
Wakati nakuwa alikuwa A.Gulamali, wakaja akina Manji na Dewji, nimekuwa nikiijiuliza sababu ni ipi hasa ukichukulia Wahindi soka siyo ,,hobby” yao, Wahindi hupendelea cricket nasema hivyo kwa...
Jumapili ya leo tunasherehekea maisha na mafanikio makubwa aliyotukarimu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mwalimu ambaye kimsingi alianza harakati za ukombozi wa taifa letu toka akiwa...
Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,
Kuna ka utaratibu ka watu kupotea alafu watanzania solution...
Mtendaji huyu wa chama wilaya alinaswa kwenye mtego huo siku ya jumamosi ya juzi. Alinaswa kwenye kamera maalum maarufu CCTV akiiba vipodozi na fedha kwny duka la vipodozi alipoanza kuondoka...
Hi!
Unaponunua umeme unakutana na makato ya hovyohovyo sana.
-VAT 18%
-REA 03%
-EWURA 01%
-Ukinunua kwa simu ya mkononi 1.1% kama sijakosea.
Sasa Mimi mambo ya REA yananihusu vipi?, na haya...
Mtu mmoja aliumwa
na Jino, lilimtesa sana...
Akapiga magoti kumlilia
Mungu ili amponye..
Mungu akamuonesha mti
flani ili majani yake
Yapate kumtibu..
Akaenda kwenye mti ule,
Akachukua...
Kuna Watu hapa Tanzania wakishika tu Pesa kidogo basi hatupumui humu mitaani kwa ‘ Mikogo ‘ yao huku wakianza sasa ‘ Kuwadharau ‘ wenzao na kuwaona ‘ takataka ‘ na si chochote kile utadhani Wao...
Mtakubaliana nami zamani waganga wa kienyeji walikuwa ni watu duni na wasiopenda kukaa kwenye makazi ya mijini na muonekano wao kimavazi na vitendea kazi vyao vilitisha mfano tunguri,mwengo na...
Nisaidieni wapendwa!
Ni Game gani ni zuri kwa Samsung Galaxy note4.
Game isiwe la kulipia au yale yanayotumia Intaneti. Iwe ni Game la Off Line.
Lisiwe Game la Mpira tu.
Napendelea Game za...
Wakati nakunywa kahawa pembeni yangu nikawa naskia
"Ukiweza kutoa maziwa mazuri yakawafurahisha wengi basi hata wale wachache watakao kuwa wamekosa siku hiyo watatamani wakukate chuchu ili usitoe...
Kwa wale walioajiriwa, mikataba mingi ni ya masaa nane kwa siku tano. Katika hayo masaa nane unapata nusu saa ya kula chakula. Wengine tuna mikataba ya masaa kumi na mbili na unapata lisaa la...
Gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku katika miji mbalimbali duniani, shirika la Mencer limeziorodhesha gharama za bidhaa na huduma 200, pamoja na malazi, huduma za chakula, starehe...
Mabasi ya Kampuni ya New Force Enterprises, moja linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Mbeya, na lingine linalofanya safari kwenda Tunduma, yamepata ajali maeneo ya Ruaha Mbuyuni...