Hukuna jambo linaudhi kama mtu kutekwa halafu watanzania wakaanza harakati za kumtafta kwa kuandika tu Bring back somebody mitandaoni bila action

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,

Kuna ka utaratibu ka watu kupotea alafu watanzania solution pekee ni hashtag ya bring someone back, na kulala wakidhani wameplay role yao vya kutosha,

Watu inakuwa fursa ya kuuza mpaka ma tshirt ya bring someone, nawaambieni kwa utaratibu huu watakuwa wanapotea mnaandika bring back na mnasahau na hawapatikani,

Najua ntaulizwa eti nini kifanyike, sitasema nini kifanyike, ila za kuambiwa changanya na zako
 
E

Something is better than nothing.
Watu wafanye nini zaidi ya hapo kwa watu wasiojulikana?
 
Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,

Kuna ka utaratibu ka watu kupotea alafu watanzania solution pekee ni hashtag ya bring someone back, na kulala wakidhani wameplay role yao vya kutosha,

Watu inakuwa fursa ya kuuza mpaka ma tshirt ya bring someone, nawaambieni kwa utaratibu huu watakuwa wanapotea mnaandika bring back na mnasahau na hawapatikani,

Najua ntaulizwa eti nini kifanyike, sitasema nini kifanyike, ila za kuambiwa changanya na zako
Wewe umefanya nini??
 
Dalili za unafiki kupiga domo na kunyuti bila action.

Pia ndio zinaambatana na dalili za wanaume wanaoangalia tamthilia ya Sultani.

#Research ya TWAWEZA
 
Na mwisho wake ni huu britanicca
IMG-20181015-WA0003.jpg
IMG-20181013-WA0002.jpg
 
Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,

Kuna ka utaratibu ka watu kupotea alafu watanzania solution pekee ni hashtag ya bring someone back, na kulala wakidhani wameplay role yao vya kutosha,

Watu inakuwa fursa ya kuuza mpaka ma tshirt ya bring someone, nawaambieni kwa utaratibu huu watakuwa wanapotea mnaandika bring back na mnasahau na hawapatikani,

Najua ntaulizwa eti nini kifanyike, sitasema nini kifanyike, ila za kuambiwa changanya na zako
je kwa raia wa kawaida mkuu unategemea afanye nini? hebu toa dondo kwa mkulima wa matunda aliyokuwa ananunuja Mo kwa ajili ya kwanda chake. yeye afanyeje kama sio kuiga kelele? hayo mengine vyombo vya ulinzi na usalama ndio kazi yao. labda uwakosoe hao lakini kwa raia hapo ndio mipaka inaonesha! unless una nia mbadala twambie tuipime na kama haingilii kazi ua uchunguzi ambayo hatuna weledi nayo!!!
 
Hakuna jambo linakera kama mtu kujifanya mzarendo, mpenda maendeleo, mpigania haki wakati yupo kajificha Nyuma ya keyboard asijulikane,

Kuna ka utaratibu ka watu kupotea alafu watanzania solution pekee ni hashtag ya bring someone back, na kulala wakidhani wameplay role yao vya kutosha,

Watu inakuwa fursa ya kuuza mpaka ma tshirt ya bring someone, nawaambieni kwa utaratibu huu watakuwa wanapotea mnaandika bring back na mnasahau na hawapatikani,

Najua ntaulizwa eti nini kifanyike, sitasema nini kifanyike, ila za kuambiwa changanya na zako
Mkubwa we mwenyewe upo nyuma ya jina bandia
 
Back
Top Bottom