Wazungu kweli ndo Chanzo cha Ukimwi Afrika

Wazungu kweli ndo Chanzo cha Ukimwi Afrika

Joined
Sep 17, 2018
Posts
25
Reaction score
23
Kwa mujibu wa mtandao wa Pivibe, mwanasayansi aliyetengeneza virusi vya UKIMWI, Dkt. Robert Gallo alinukuliwa akisema “Tulilazimishwa kutengenezwa Virusi vya UKIMWI kama silaha ya siri ili kuwaondoa Waafrika.".

Neno moja kwake pia share na wana
FB_IMG_1539590439909.jpeg
 
Wewe ndo umejua leo..!! Wajinga ndio wali wao.
 
Elimu juu ya neno UKIMWI ni ndogo Sana.

Upungufu wa Kinga Mwilini hii ipo karne, ukiugua malaria Kinga zikashuka huo ni Ukimwi pia, Ukiugua TB kinga zikashuka huo ni ukimwi pia.
 
Back
Top Bottom