MACHOZI YA SAMAKI

MACHOZI YA SAMAKI

Katali

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Posts
886
Reaction score
728
Kwa mara nyingine tena Wafanyakazi wa kampuni ya Sahara media group wamiliki wa startv,radio free Afrika na kiss Fm,wamekesha katika ofisi za mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ambaye ni mmiliki wa Kampuni hiyo,DR.Anthon Diallo ,kumshinikiza awalipe malimbikizo ya mishahara yao ya takribani miezi 20 pamoja na Stahiko zao baada ya wafanyakazi hao kuondolewa kazini tangu March 31 mwaka huu..
 
Back
Top Bottom