SERENGETI, MARA: Ndugu waukataa mwili, wataka polisi itoe sababu za kifo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Serengeti. Siku moja baada ya Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Juma Ndani kukiri askari wake kumuua Edward Mahende (73) mkazi wa kijiji cha Kenyana wilayani hapa, ndugu wamegoma kuuchukua mwili. Msimamo wa ndugu unatokana na polisi kushindwa kutoa majibu ya maswali ya sababu za mauaji na aliyehusika na mauaji hayo.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Oktoba 15, 2018, Joseph Chacha ambaye ni mdogo wa marehemu amesema kaka yake ameuawa kwa makusudi kwani wanadai walikuwa na wenyeji ambao wanajua nyumba ya marehemu.

"Nimefika polisi wananiambia tuchukue mwili tukazike na wao watatoa jeneza na usafiri, maelezo ambayo yanatia shaka maana kama ni jambazi wanawezaje kumgharamia?" Amehoji.

Amesema wako tayari kukaa hata mwezi bila kuzika mpaka maswali yao yajibiwe. Amesema mtoto anayedaiwa kuwa ni jambazi ana umri wa miaka (16) na tukio lake alilofanya ni wizi wa ng'ombe mmoja akauza na mzazi hajawahi kulalamika polisi.

Mkuu wa wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema atalizungumzia suala hilo baada ya uchunguzi wa mwili na kuomba wauchukue mwili wakauzike na mengine yatafuata.

Jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Juma Ndaki akizungumza na Mwananchi alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 12, 2018 majira ya saa 8 usiku nyumbani kwa marehemu.

Alisema Mahende alitoka na mkuki kwa lengo la kumchoma askari polisi aliyebisha mlango na kujitambulisha ndipo polisi waliokuwa pembeni wakampiga risasi sehemu ya nyonga na kupoteza maisha.

Chanzo: Mwananchi
 
Duuh! Kwa sasa hii Dunia ni bora ukakutana na nyoka aina ya KOBOKO kuliko binadamu mwenye chuki! Ukikutana na KOBOKO unaweza kujifanya hata mjinga ukakaa kimya tulii bila kupepesa hata kope na kwa maajabu ya Mungu anaweza asikudhuru na akaukuacha! Lakini binadamu akiamua hawezi hata kukusikiliza kabisa muda huo unajitetea tayari malaika Gabriel mtoa ROHO ndio anakua anamalizia kuifungua ile nati ya mwisho inayokaza ROHO yako ili kuichukua na kuipeleka kwa M/Mungu.. Ila Mungu yupo na yote hayo atayatolea malipo hapo baadae... Damu ya mtu huwa haipotei hivi hivi tu haki!...
 
Hiviii polisi wana ruhisiwa kwenda kmkumkamata mtu kwake bila kua na mjumbe au mwenyekiti wa mtaa husikia tena saa nane usikuu?? Hii ni aibu kubwa snaa kwa nchi yetu kuona polisi wnasahau taratibu za kazi zao na je huo uchunguzi nani atafanya na tangu lini mganga akajiganga mwenyewe ??
 
Mh
Serengeti. Siku moja baada ya Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Juma Ndani kukiri askari wake kumuua Edward Mahende (73) mkazi wa kijiji cha Kenyana wilayani hapa, ndugu wamegoma kuuchukua mwili. Msimamo wa ndugu unatokana na polisi kushindwa kutoa majibu ya maswali ya sababu za mauaji na aliyehusika na mauaji hayo.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Oktoba 15, 2018, Joseph Chacha ambaye ni mdogo wa marehemu amesema kaka yake ameuawa kwa makusudi kwani wanadai walikuwa na wenyeji ambao wanajua nyumba ya marehemu.

"Nimefika polisi wananiambia tuchukue mwili tukazike na wao watatoa jeneza na usafiri, maelezo ambayo yanatia shaka maana kama ni jambazi wanawezaje kumgharamia?" Amehoji.

Amesema wako tayari kukaa hata mwezi bila kuzika mpaka maswali yao yajibiwe. Amesema mtoto anayedaiwa kuwa ni jambazi ana umri wa miaka (16) na tukio lake alilofanya ni wizi wa ng'ombe mmoja akauza na mzazi hajawahi kulalamika polisi.

Mkuu wa wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema atalizungumzia suala hilo baada ya uchunguzi wa mwili na kuomba wauchukue mwili wakauzike na mengine yatafuata.

Jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Juma Ndaki akizungumza na Mwananchi alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 12, 2018 majira ya saa 8 usiku nyumbani kwa marehemu.

Alisema Mahende alitoka na mkuki kwa lengo la kumchoma askari polisi aliyebisha mlango na kujitambulisha ndipo polisi waliokuwa pembeni wakampiga risasi sehemu ya nyonga na kupoteza maisha.

Chanzo: Mwananchi
Inaskitisha
 
Aisee yaani sikuizi haipiti mwezi bila kusikia polisi wameua raia, na wala hamna hatua zozote zaidi ya kutetewa tu as if wanaowaua ni paka
 
Hivi nini kifanyike ili kukomesha matukio ya namna hii? Watanzania kama ni kulala tumelala sana, na kama kunyanyaswa tumenyanyaswa sana, na kama ni kuonewa tumeonewa sana. Unyonge wetu ndio umekuwa chanzo cha yote haya, na sasa tunataka mabadiliko, ili tusilale tena, tusinyanyaswe tena na tusionewe tena!
Yaan imekuwa kawaida sasaivi,,usikubari ndugu yako waje kumkamata waondokenae,, andika ameenda na maji huyoo
 
Serengeti. Siku moja baada ya Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Juma Ndani kukiri askari wake kumuua Edward Mahende (73) mkazi wa kijiji cha Kenyana wilayani hapa, ndugu wamegoma kuuchukua mwili. Msimamo wa ndugu unatokana na polisi kushindwa kutoa majibu ya maswali ya sababu za mauaji na aliyehusika na mauaji hayo.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Oktoba 15, 2018, Joseph Chacha ambaye ni mdogo wa marehemu amesema kaka yake ameuawa kwa makusudi kwani wanadai walikuwa na wenyeji ambao wanajua nyumba ya marehemu.

"Nimefika polisi wananiambia tuchukue mwili tukazike na wao watatoa jeneza na usafiri, maelezo ambayo yanatia shaka maana kama ni jambazi wanawezaje kumgharamia?" Amehoji.

Amesema wako tayari kukaa hata mwezi bila kuzika mpaka maswali yao yajibiwe. Amesema mtoto anayedaiwa kuwa ni jambazi ana umri wa miaka (16) na tukio lake alilofanya ni wizi wa ng'ombe mmoja akauza na mzazi hajawahi kulalamika polisi.

Mkuu wa wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema atalizungumzia suala hilo baada ya uchunguzi wa mwili na kuomba wauchukue mwili wakauzike na mengine yatafuata.

Jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Juma Ndaki akizungumza na Mwananchi alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 12, 2018 majira ya saa 8 usiku nyumbani kwa marehemu.

Alisema Mahende alitoka na mkuki kwa lengo la kumchoma askari polisi aliyebisha mlango na kujitambulisha ndipo polisi waliokuwa pembeni wakampiga risasi sehemu ya nyonga na kupoteza maisha.

Chanzo: Mwananchi
Polisi hawaaminiki
 
Back
Top Bottom