Furahini na shangilieni, ukombozi wenu waja!

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Huu ni ujumbe mfupi nilioambiwa nishee na nyie.

Bwana Mungu na roho yake amenituma, naye asema hivi, kimbieni kutoka kwa watesi wenu. Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya, yatamkeni mpaka mwisho wa dunia.

Semeni, Bwana ametukomboa!!

Ila kumbukeni amri na sheria zake. Matatizo mengi ambayo mmepata ni kwa sababu ya dhambi zenu. Uzinzi umewajaa, wengi mnaendekeza mambo ya kishirikina, wizi na mambo mengi yasiyompendeza Mungu. Laiti kama mngeacha hayo, amini nawaambia furaha na amani yenu ingekuwa nyingi sana.

Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA.
 
Back
Top Bottom