kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,277
- 22,073
Wana bodi ......
Sisi kama wana wa Adamu tulizaliwa na vivyo hivyo kuna siku tutakufa....sitagusia mambo ya pepo, sijui mbiguni kwa maana italeta mkanganyiko mkubwa na hapa kuna watu wenye imani zao....kila mtu aendelee kuamini anachokiamini kulingana na imani yake.......
Back to the topic.... hivi kifo huwa kinapangwa ? inakuwaje mtu unajijua utafariki na kuandika wosia ? pengine kugawa mali zako kabisa.....? hii huwa inatokea na mara nyingi mtu akifika hatua hii haishi mda mrefu sana, lazima atafariki !
Pengine mtu ameumwa kwa muda mrefu, mathalani magonjwa sugu kama saratani, sukari n.k ndio anaweza kufika hatua ya kukata tamaa na kuandika wosia kuhusu urithi wa mali zake kwa familia yake na ndugu kwa ujumla.....hilo sipingani nalo kwani hapo kuna kukata tamaa baada ya kuona huponi na afya inazidi kudorora siku hadi siku, swali linakuja vipi kwa wale ambao hawaumwi kabisa lakini wanaandika wosia, tena wengine huenda mpaka mahakamani kabisa kupata mihuri hasa kwenye hati za nyumba au shamba/kiwanja na mali nyinginezo....na mtu akifanya hivo kweli baada ya muda atafariki......
Nini kinachopelekea msukumo wa wa haya mambo hadi mtu anaamua kuandika wosia ? ? ? je mtu anapokaribia kufa kuna dhalili anazoziona ?
cc
Mshanajr Humble African