Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike
Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi
Mwanaume na...
Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine.
Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano...
Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika.
Ushauri huo umetolewa na...
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M +...
Kuna jambo siwezi kulinyamazia. Kwa muda sasa nimekuwa nikitembelea Soko la Kunduchi jijini Dar es Salaam kufuata samaki na dagaa. Kiukweli, miundombinu ya soko hilo hairidhishi na inaacha maswali...
Habari wakuu,
Mimi ni mtumiaji wa usafiri wa umma 'daladala' kila siku nikiwa naelekea au nikitoka kwenye mahangaiko yangu. Nimekuwa nikishuhudia wanafunzi hasa wa shule ya Msingi wakiwa na...
Hivi karibuni mimi pamoja na watu kadhaa wa karibu tumepitia tatizo la kiafya la kummwa na tumbo, kuharaha na wengine kutapika. Huu unaoneka sio ugonjwa wa kawaida ni kama kuna mlipuko wa homa ya...
UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za
maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika...
بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيمِ
Tupo ndani masiku kumi ya mwanzo ya Dhul-Hijjah ni katika masiku matukufu mno mbele ya Allah سبحانه وتعالى. Ni masiku ambayo matendo mema hupendwa zaidi kuliko...
Hali ya sasa ni ngumu sana na ata wenye unafuu vipato havitoshi,sasa kuna wimbi kubwa la ndugu,jamaa na marafiki, mademu ambao wanapiga sana vizinga na mbaya zaidi kuwakwepa moja kwamoja ni vigumu...
Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi
Afrika ni...
Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa...
This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on...
Pesa 10,000 zikiwa noti moja au zikikatwakatwa kuwa noti za 500, 1000, thamani yake haibadiliki. Lakini mjinga huona wingi wa noti na kudhani amepata utajiri mpya.
Hili ni fundisho kubwa...
Tumeishi kuamini kwamba mtu akitabasamu anakupenda, akikupa nafasi anakutakia mema na kumbe kuna watu kazi yao ni kukualika kwenye meza ya heshima ili dunia ione vizuri utavyoanguka.
Kuna watu...
Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL.
Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal.
Si mwengine bali ni...
Mwanamke raia wa Kenya anayefanya kazi nchini Saudi Arabia amesambaza video ikimuonyesha mwajiri wake akidaiwa kujaribu kumfanyia unyanyasaji wa kingono akiwa jikoni.
Katika video hiyo, mwanamke...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo anaondoka nchini kuelekea Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA...