Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,239
- 10,586
Karibuni wadau
Mtuhumiwa mmoja alisimamishwa mahakamani huko Marekani na kujitetea kwa kumnukuu raisi Trump kuwa alisema ni sawa kushika naniii hiiii.....
Alisema Trump,:
You know I’m automatically attracted to beautiful [women] — I just start kissing them,” Trump said on the tape, which was recorded several months after he married his third wife, Melania, in January 2005. “It’s like a magnet. Just kiss. I don’t even wait.”
“And when you’re a star they let you do it,” Trump said. “You can do anything.”
“Grab them by the p—y,” he added. “You can do anything.”
Kiswa---ngilsh "Huwa navutwa bila kujijua na warembo na kuanza kula denda, alisema Trump katika mkanda uliorekodiwa miezi kadhaa baada ya kumuoa mke wake watatu Melania 2005Januari, "ni kama sumaku, kula denda huwa sisubiri
" Na unapokuwa nyota wanakuruhusu tu, unaweza kufanya chochote alisema trump"
"Kamatia na ni hii.......... aliongeza unaweza kufanya chochote"
Chanzo( Washington post 2016)
Huyu ndie raisi wa nchi makini huru na demokrasia