IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Ilinichukua miaka20 kula firigisi ,nyumbani baba pekee ndio alikuwa anaandaliwa firigisi na maini ya kuku.
Kwa kipindi kile nilikuwa natamani sana kula nijue lina ladha gani,ila kwa nyumbani lisingewezekana.,na sikuwa na pesa ya kununua si unajua maisha yetu uswahili.
Nimeanza kujitegemea nikiwa na miaka20 nakumbuka nilipata pesa 15000 kitu cha kwanza nilinunua firigisi pale mtoni mtongani...kiukweli sitasahau ile moment ..firigisi tamu ndio maana mama alimwekea baba tu....
Amini nakumbia wapo akina mama wengi sana firigisi wanasikia redioni tu hasa uswahilini....
VP wewe umeanza lini..hapa kwangu wanangu wanakula kila kitu...