Hongera Coca cola kwanza Mbeya

Chemist boy

Member
Mar 24, 2018
55
54
Wakuu habari.
Napenda kuchukua fursa hii kwa moyo wa dhati kabisa kuipongeza kampuni tajwa hpo juu kwa hatua nzuri walizochukua kutatua tatizo lililojitokeza.ieleweke lengo la thread iliyopita ilkuwa si kwa ubaya,Bali kukumbushana.na ukiona mtu anapokosea na anasahihisha makosa yake na kuchukua hatua ni wazi mtu uyo anahitaji pongezi.kinyume chake ni pale mtu anapokosea lakini bado haoni kama amekosea uyo ata maamuzi yake yanakuwa ya jazba finally yanaweza mgharimu.HONGERA COCA COLA KWANZA MBEYA.
 
Hivi kiwanda cha soda za brand za CocaCola ya Mbeya inaitwa AFRI BOTTLERS au KWANZA BOTTLERS?
 
Back
Top Bottom