The Nabeel Qureshi Legacy...

The Nabeel Qureshi Legacy...

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,779
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya aina fulani ya watu. It will be beneficial to any sober-minded people.

Najizuia kutoa brief ya Nabeel Qureshi (RIP) ili kwa mtu atakaeamua kujifunza kwake afanye juhudi japo kidogo kujielimisha. Just search his name on the web (I recommend youtube). Naamini kwa mtindo huo kila atakae atanufaika na atakachojifunza kwa kijana huyu.

Angalizo
Mnaosubiri hadi mtu fulani aseme kitu ndio nanyi muwe mwangwi wake mtapoteza muda wenu hapa. This is meant for real great thinkers.
 
Back
Top Bottom